Recent content by The IDOL

  1. T

    Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

    Big UP sana ndugu NAPE. Wenzako wakiiga busara zako, Tanzania itatawalika bila mizozo wala minong`ono.
  2. T

    Mwanajeshi mahakamani kwa kukutwa na Meno ya tembo ya bil. 4/-

    Takwimu zinaonyesha kuwa mpaka mwaka 2012 walikuwepo TEMBO 150,000 tu katika mbuga zetu zote hapa Tanzania, meno 347 ni sawa na TEMBO 174. Kwa kasi hii ya CCM (Kinana) Jeshi, na mapolisi TEMBO wakafutika kwenye orodha ya wanyama walioko TANZANIA.
  3. T

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Nadahani ni vyema ndugu JK, amawambie mkuu wa wilaya ya Karagwe au Ngara ajibizane na mkuu wa wilaya mwenzake wa wilaya ya Rwanda anayeitwa kagame.
  4. T

    Mh Membe peleka Form ya kujitoa EAC

    Sikuwahi kuungana mkono na Kikwete,lakini kwa jambo hili nitamuunga mkono dhidi ya huyu CHIZI wa rwanda. Ni wakati wetu Watanzania kujitambua na kuondoa hizi dharau huyu
  5. T

    Mkapa anaandaliwa kuwa rais

    Naye PINDA tu.
Back
Top Bottom