Recent content by the horticulturist

  1. the horticulturist

    Nimepatwa na huzuni kuu baada ya kutangazwa majina ya walimu, nimekuwa nikijitolea bila mafanikio

    Pole sana sana, nakushauri tafuta ajira shule za private hizi english medium hata iwe msingi ila kwanza uwe na ajira , sina mengi mzee
  2. the horticulturist

    At the pub, must show you’re VIP (Kwenye baa, lazima ujionyeshe kuwa wewe ni VIP)

    Napenda sana mtu uende PUB halafu watu wakuone kwa meza inavyojaa na inavyotumia sio kwa kelele mingi kisha mezani kuna bia za elf 30 ,wanakera sana
  3. the horticulturist

    Umeshawahi kupata kazi kupitia Linkedin?

    Binafsi hapana ila nimetafutwa mara kadhaa kutoa recommendations kwa mtu au kuwapa mtu anaefaa na nimewaunga kadhaa na kazi. Ni nzuri jitahidi page iwe active kuonesha kazi zako na profile pia iwe recently
  4. the horticulturist

    INAUZWA Tunauza Simu za aina mbalimbali

    Nina google pixel 4xl nataka niende Google pixel 6 pro. Naongeza ngapi?
  5. the horticulturist

    Nilikuwa na maotea warts nilikula mdada mmoja yakapotea

    Nenda hospital kuna magonjwa huwa yanatokea, yanapotea nnje yanaendelea kula ndani, yakija tokeza kwa awamu ya pili ndio majanga inakua too late. Tibiwa wewe na ulietembea nae
  6. the horticulturist

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hii 89.9 ndio percentage ya alcohol au [emoji3517][emoji88]
  7. the horticulturist

    Tabia nyingine za watoto mnaziendekeza sana

    Nadhani hapo kwenye kipigo kuna kiwango na uzito wa fimbo zenyewe kuna kupiga kurekebisha na kuna kupiga kuua sasa. Mtoto anarekebishwa sio una mkomoa au kushindana nae. Inauma mwanao kuchapwa ila kuna muda haina jinsi
  8. the horticulturist

    Tabia nyingine za watoto mnaziendekeza sana

    Chunguza tena wazungu wanapigwa vizuri tu. Haya wanaotuonesha nje ni uongo mwingi. Na wazungu wanafanya kazi kuanzia miaka 14 ndogo za ujira mdogo kujifunza maisha. Mfumo wao wa maisha ni tofauti kidogo na wa kwetu tazama hilo vizuri. Sikumbuki mtoto nimempiga lini mara ya mwisho ila anajua...
  9. the horticulturist

    Natafuta mtu wa kunishika mkono

    Nitumie email hapa iddi@hollandgreentech.com Utaweka motivation letter na CV. Utanikumbusha kwamba nilishare email hapa jf. Karibu
  10. the horticulturist

    Weka Picha kali toka kwa simu yako

    Umetisha sana [emoji122][emoji122][emoji122]
  11. the horticulturist

    Weka Picha kali toka kwa simu yako

    Kuna za Moro kuna za Bagamoyo Pwani
  12. the horticulturist

    Natafuta mtu wa kunishika mkono

    Hello habari Natamani kukusaidia ila kuna ukakasi kama wewe umeshindwa kuweka email yako sababu ina majina yako kwa nini mimi niweke email yangu ili utume motivational letter na CV ambayo inamajina kabisa yangu na jina la kampuni? Best.
  13. the horticulturist

    Weka Picha kali toka kwa simu yako

    Chache zilizo kwenye simu [emoji91]
  14. the horticulturist

    Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

    Dah story inafunza mengi sana sana. Umenikumbusha nikiwa nakua huko jijini Tanga, maskani ilikua jirani sana na nyumbani ila upande wangu ilikua tofauti sana wauni wa pale wala unga,bangi,ukabaji walikua wanapenda sana vijana tusome. Sote tuliokua tukisoma kuanzia primary mpaka sec walikua...
Back
Top Bottom