Mbunge aliyechangia swala kikokotoo hapo nina mashaka kwenye ufahamu wangu iwapo amepangwa aseme hivyo au ni utashi wake umemtuma. Hivi kweli kikotoo kilivyokaa ni cha kuwa na ujasiri wa kukitetea!!??. Ile ni dhuluma ya wazi sema tu ukisema useme sana ni machozi ya samaki kwenye maji
Sheria ikubali kuwa viongozi wa dini hawachaguliwi. Lakini wakiendelea kulazimisha wachaguliwe,,basi nakiri wataziharibu na wamefanikiwa kuziharibu sana hizi taasisi za kidini
Yaani kuna wajinga wana mamlaka ya kuchapisha hela halafu wanazikopesha. Na wanadai na riba juu wakati sisi huku chini kupata hiyo buku mpaka upambane. Ko ndiyo hivyo. Na hii ni hatari sana ipo siku kwa kadri deni linavyoendeleakuwa kubwa uchumi wa dunia utaanguka
Yaani hii ruhusa ya papa, kuruhusu ndoa za jinsia moja kubarikiwa ni mwiba mchungu sana kwa wakatoliki. Tulipokuwa tukiwaambia huyo kiongozi wao anamwakilisha shetani wakasema tuna wivu, haya sasa yako peupe
Kwa wafungwa ifutwe. Ila mashuleni ikifutwa hatuna watoto tena. Labda uletwe mfumo mwingine wa adhabu amabao pia ni mkali. Ila fimbo zifutwe halafu adhabu ziachwe void taifa litakuwa limeishia hapo
Wewe naona umekomaa mpaka basi Yesu hakusema kwa kuwa dola itawaua mkae kimya. Alisema nimewaonya mnayepaswa kumwogopa. Msimwogope awezaye kuua mwili na asiweze kufanya chochote baada ya hapo, bali mwogopeni awezaye kuua mwili na roho akatupa katika Jehanum. Watumishi wote wanaoogopa kuzionya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.