Recent content by the guy here i am

  1. T

    JamiiForums Tanzania ESS... E-loan shida ni nini!!?

    kwa wotee nazani pana shid kidogo maybe itatatuliwa soon
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mm nimelala na homaa kaliiii PSG mara ya pili khaah nkaaacha game ya atlanta
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ila PSG jamani ahahhahahah
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    ofisi ya taifa ya ukaguzii jeeeh NAOT mwenye ABCs......kwa degreee na fursa nje ya hapo
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    XIAOMI 14T MWENYE KUJUA HII SIMU VIZURII IS IT PERFECT COMPARED TO SAMSUNG S22 ULTRA?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuuu ao jamaaa wengine tumeomba tuna 30 na miezii Sasa mpaka wanaitaa si tutakuaaa tushavukaaa khaaaah
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wakuu nilileta mkasa hapa baada ya kuyatimba yapata sasa week ya8 nimepima bado Neg hukunikiendelea kumuomba Mungu.

    Ivi PEP zip effective?....na mm ndo namiliziaa leo kidonge cha 28 apa duuh Hatarii sanaa
  8. T

    JamiiForums Tanzania KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

    ukiwa unatumia PEP kwa muda ulioplan let say sa tano kila siku na uka pitiliza masaa mawili toka uo muda jeh itaharibu dozi ya PEP? na for the next day vipi utatakiwa umeze mapema?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliochaguliwa Kwa ajili ya Test MSF

    kakaa ulifanikiwa ku fanya test yaoo
  10. T

    JamiiForums Tanzania mwenye update kuhusu medecine sans frontieres

    mkuu una ABCs kuhusu MSF kuhusu ulipaji waoo
  11. T

    JamiiForums Tanzania KERO Mashirika ya kigeni yanayojiita Humanitarian au International NGO's na kasumba za ubaguzi kwa waajiriwa wazawa!

    mkuuu awa jama MSF walitoaga nafasi ya head of watchmen ivii uyuu atakua analipwaje mbona majangaa na sijui io nafasi iliyeyukiaaa wapiiii au ndo mtu ashakula office kitambo
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

    yan ukitaka kutuma maombi supervisor wakoo haonii ayo maombi yako? si nasikia kuna watu inabidi wa approve
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

    Unaeweza kunielekeza jinsi ya kuomba transfer tafadhari
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwangu haifunguki hi documents inanipeleka mwanzo wa jamii forums sijajua n shida msaada
Back
Top Bottom