Recent content by The GT

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    A Ahsante sana mkuu.
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri:Baada ya mwanaume kunipa mimba ananikwepa sana, eti niitoe

    Mimi nipo tayari kuilea,krb tuyajenge.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Bill Gates aonya na kutabiri coronavirus kuua watu milioni 10 barani Afrika

    Mbona huko Tanga lushoto watu wanapona Kama kawa,SEMA kibongobongo ukijitangaza kuvumbua kitu baadala ya kusapotiwa unaoelekwa selo na ndo maana wataalamu wanapiga kimya tu,wenyeji wao ndo wanaoneemeka.
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Jamani tuwapige show za ukweli Hawa viumbe aisee,mm kwa demu niliyemuelewa atakojoa si chini ya Mara 7 huko kabla sijatua kituo Cha Kwanza.
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mzee baba,Mara mbili tu? Au hakuwa na hamasa?
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii option huwezi ipata popote kwa kanji wa kibongo.
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndiyo
  8. T

    Ni hivi,game ya Jana ya hao jamaa Astonvilla alipewa min. Minutes without a goal yes/no12.5 minutes,odd hapo ilikuwa ni 1.85.Sasa kwa hiyo game ungeweka yes ungelose maana Astonvilla alifunga goli dk. ya 12 tu baada ya kuanzia game.hivyo whole minimum without a goal imegoma.
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilikuwa natest Kama nimeelewa kwa usahihi,Sasa kweli ni sahihi na hapa nimegundua kuwa mechi ngumu ndo mahali pake,so weekend hii nitaanda SGR.
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Katika research ya new options ndo nilichokutana nacho hiki hapa.
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    True, hapa DeepPond ndo mahali pale Sasa tatizo kaadimika kijiweni.
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau tusaidiane hapa,ni kweli anamaanisha kuwa jumla ya dakika kadhaa timu X icheze uwanjani bila kufunga goli? Maana nisijeenda Chaka.
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Na ww ndo next,maana nyie mkisikiaga habari ya hogo kubwa Basi na ww utafanya Kila namna ili ukadhuhudie.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Gari lipi kutoka Dar hadi Makambako litanifikisha mapema?

    Brother Kuna Rungwe express,Dar lux,New force etc,bei Kati ya 25k-35k
Back
Top Bottom