Watu wanakosa pesa kwasababu hawana skill inayouzika na pia hawajui kuuza

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
767
1,655
Greetings ndugu zangu wa JF.

Kama kawaida leo nipo hapa kutoa darasa jinsi yakufanya pesa isikauke mfukoni . Kwasababu.....tena tuache utani pesa ni muhimu sana kwenye day to day life.

Sasa ukikosa pesa halafu ukaona jirani yako au rafiki yako anafanikiwa unapata wivu

Unapata hasira.

Hata wakati mwingine unachanganyikiwa.

Soma huu uzi...

Bora nikate tamaa ili niwe salama
Bora nikate tamaa ili niwe salama

Tena mbaya zaidi umri unaposogea halafu ukiangalia hakuna la maana umefanya

Lakini leo nakuja na ufumbuzi wa hili tatizo.

Tena practical kabisa.

Na iwapo utafuata basi pesa hazitakupiga chenga.

Kumbuka kila kitu ninachokiandika ni experience binafsi lakini pia careful observation kwa watu wenye pesa na wasio na pesa.

Are you ready for today’s class?

Ok.

1
.
.
.
.
. Kama hupati pesa maana yake wewe hauna UJUZI/SKILLS inayokuwezesha kumfanyia mtu kazi yake na yeye kukulipa pesa.

Simple as that.

Kumbuka mtu fulani atakupatia pesa pale tu anapoona kwamba ujuzi wako utatatua shida yake.

Tofauti na hapo my friend pesa utaziona kwenye picha tu.

Hapa ninaposema ujuzi kuna wengine wanaanza kuwaza mambo elfu kumi kichwani wanawaza sasa Skills tena si ndiyo itachukua miaka?

Nisome nitaelezea hili huko chini.

Ok tuendelee.

Inabidi mtu wangu ujifunze ujuzi unaouzika.

Hivi unafahamu watu wengi wanaenda college/university kujifunza ujuzi usiyohitajika?

Trust me hapa ni kundi kubwa sana.

Na si tatizo lao.

Hawana Habari pia wanaowafundisha nao hawana habari.

Sisemi hivi kujikweza nop.

Ninawapatia darasa kuanzia university lacterers hadi machalii wangu wa ghetto. Kwahiyo nafahamu.

Lazima ukubali kujifunza ujuzi unaouzika ili upate opportunity mpya za Kutengeneza pesa.

Ngoja nikupe mfano.

Niliwahi kufanya kazi fulani ya Kiswahili Upwork na nikaweza uzi hapa JF. Na lengo lilikuwa zuri tu.

Kujaribu kuonyesha mtu yeyote mwenye uhitaji.

Hakuna haja yakuficha chochote.

We already naked.

Lakini kilichotokea si kupata hiyo gig tu lakini pia ikawa mwanzo wa mimi kujitengenezea opportunity nyingine na same client.

The rest is history.

Hii yote isingewezekana iwapo nisingekuwa na skill ninayotumia kupata kazi kwenye freelance sites hasahasa UpWork.

2 • You are too lazy to learn new Skill(s).

Ngoja nikwambie kitu.

Kukaa hapa ghetto kwako nakufiri pesa zitashuka kama mvua au utaokota begi la pesa unajidanganya .

Lazima uamke sasa hivi na ujifunze skill mpya.

Tena kama nilivyosema sio tu Skill.

Lazima iwe skill inayouzika.

Halafu jambo zuri ni kwamba skill hizi zinazouzika wala huitaji kujifunza muda mrefu.

Mafano wa skill muhimu kabisa unayotakiwa kujifunza ni PERSUASION.

Ok

Hii ni muhimu hata kabla yakujifunza labda Online support, internet research, Facebook advertising au Kutafsiri lugha, kuwa mwandishi wa mtandaoni, programming na Skills nyingine nyingi tofauti zinazoweza kukupatia pesa katika ulimwengu wetu huu wa teknolojia.

Nimesema Persuasion kwasababu binafsi napata opportunity nyingi kwasababu I have mastered the art of persuasions.

Nafahamu I need to persuade somebody so that they agreed to my ideas, my vision etc.

Na hivi si kitu kibaya.

Ndivyo ilivyo lazima tushawishiane ili tufanye biashara. Au vipi?

Sasa hapa watu wengi ndipo wanapoga au sijui niseme wanaona aibu?

I don’t know man.

Ok....turudi kwenye Point ya msingi.

Mtu wangu kama huna pesa na unawaza utapate hizo pesa inabidi ujifunze first skill persuasion.

Kumbuka persuasion skill utaitumia wakati unauza ujuzi wako iwe kwa kuandika au kwa kuzungumza.

You need to be prepared.

3 • Haufahamu kuuza.

Jambo gani linamtofauti muuzaji anayeuza 20 million kwa mwezi na yule anayeuza 7 millioni?

Jibu ni rahisi tu.

Muuzaji wa kwanza anafamu mbinu za juu kabisa zakuuza.

Na mbinu ya juu kabisa ni closing a deal.

Wauzaji wengi deal zao zinaharibikia njiani.

Kila wanachokaribu kinaharibika japo mteja alikuwa very interested awali.

Inabidi ujifunze huu ujuzi wa juu kabisa wa kuuza kwasababu hata kama wewe ni let say internet researcher lazima utahitaji kuhakikisha unamshawishi client hadi hatua ya mwisho pesa ipo mfukoni mwako.

Does that make sense.

Je, uko na business na una experience same challenge? Let me know how I can help.

4 • Stop overthinking. Kama wewe kweli unachukia kuwa broke go and do something. Right NOW. I mean it Rigt Now.

Ukishindwa maana yake desire yako ya mambo mazuri unayotaka si kubwa ukilinganisha na uwoga wako au vile unawaza watu watakuonaje

Watakuona hivyo hivyo walivyochagua kukuona.

Cheers 🥂
 
huu uzi ni mtamu sana. unaweza kuwa mzalishaji mzuri au uko na best idea ever, lkn huna sells skills still utakufa maskini. internet ndo mkombozi....madini yote yanapatikana huko. umenistua aisee, acha nianze chimbua hyo closing deal and PERSUASION
 
Uzi mzuri Sana, tufahamishe best sources za kupata maarifa kwa mfano websites Kama lynda.com japokuwa inahitaji ulipie, au Kama Kuna other free courses tufahamishe pls
 
Mkuu asante sana kwa uzi wako jengefu.. You're a great person.
Have you seen my email I sent to you last month? Sent the same message in your whatsapp.. Also tried to call but I couldn't reach you.
Tafadhali mkuu I'm confused and I really need your help with that matter as you can see.
Usiku mwema.
 
Wisdom detected, some of advices proffered freely on this forum can be ignored at one's peril.

Ni muda sahihi sasa kuelewa, Higher learning institutions (especially universities) are business entities just like Apple Inc. and Volkswagen, the only difference from other businesses they do sell the brand
papers (certificates) that don't necessarily translate to marketable skills and some networking opportunities. Best learning happens in the library and some few educative forums like this one, not in class.

I don't have kids for now but I'm seriously considering homeschooling in the future. Our education system kills learning at basic level (primary school).
 
huu uzi ni mtamu sana. unaweza kuwa mzalishaji mzuri au uko na best idea ever, lkn huna sells skills still utakufa maskini. internet ndo mkombozi....madini yote yanapatikana huko. umenistua aisee, acha nianze chimbua hyo closing deal and PERSUASION

Kabisa. Kujifunza kushawishi na kuuza ni muhimu sana. Trust me I know many people wameanzisha business lakini kwenye kuuza ni shughuli. Na si kwamba bidhaa au service zao ni mbaya nop. Tatizo hawana uwezo wa waku close deal na wanunuzi wa hizo product zao.

I’m welcoming everyone to learn from me. Just send me email to makingmoneyonlinetz@gmail.com
 
haya maarifa hayapatikani chuo. tunaomba books au source zs madini haya na sisi tujinoe.

Mkuu naandaa kitabu cha kiswahili nitaweka mambo yote + links za sehemu unazoweza kujifunza. Soon nitakamilisha na anayehitaji atapata.

Pia kama watu wanapenda huwa naendesha evening classes kupitia Google Meet Up. Bure.

Jumatato saa 11 jioni nitaanza. Yeyote anayehitaji atume Email kwenda makingmoneyonlinetz@gmail.com atapata access bure
 
Mkuu asante sana kwa uzi wako jengefu.. You're a great person.
Have you seen my email I sent to you last month? Sent the same message in your whatsapp.. Also tried to call but I couldn't reach you.
Tafadhali mkuu I'm confused and I really need your help with that matter as you can see.
Usiku mwema.

Oh brother.

Niliona ila nilikuwa busy na safari.

Nitahakikisha nakusaidia. Nafahamu hali unayopitia.

Nitakujibu Whatsapp na kwenye Email pia.

Stay strong you gonna make it. Inabidi upate hizi skill za juu zinasaidia sana Kutengeneza opportunities.
 
Wisdom detected, some of advices proffered freely on this forum can be ignored at one's peril.

Ni muda sahihi sasa kuelewa, Higher learning institutions (especially universities) are business entities just like Apple Inc. and Volkswagen, the only difference from other businesses they do sell the brand
papers (certificates) that don't necessarily translate to marketable skills and some networking opportunities. Best learning happens in the library and some few educative forums like this one, not in class.

I don't have kids for now but I'm seriously considering homeschooling in the future. Our education system kills learning at basic level (primary school).

Shukrani boss,

University is the biggest scam of today.

Hili huwa nawaambia watu wazi. Skills wanazojifunza huko college ni outdated hazina nafasi sana sasa hivi.

Home schooling ni nzuri na ninaimani watu wachache wanaoelewa wanafundisha watoto wao nyumbani tu.
 
Back
Top Bottom