Gari lipi kutoka Dar hadi Makambako litanifikisha mapema?

Mida hii nenda pale Kibo au Mbezi Mwisho chukua IT au gari za magazeti nakuhakikishia kesho asubuhi saa 12 Mungu akiwajaalia unakua Makambako na ikiwa siyo bahati basi jiandae kujibu mashtaka yako mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa uzoefu wangu,safar za dar-mbeya ni rungwe express,,,,,dar songea ni neforce,zote hizo zitakuacha makambako,vinginevyo panda IT
 
Basi zote za songea , njombe , mby ,Kyela ,Tunduma zinapita makambako.
Cheki hizi ,,
1. Sauli , 2.kilimanjaro express ,3. Golden deer / new force za Tunduma 4. Elsaedy.
Kufika kuanzia SAA Kumi na nusu .
Nauli ni 30,000/=
Unaweza panda za njombe pia Royal galaxy au luwinzo ziko poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kalibu sana makambako wenyewe tuna paita MK town ukifika fikia puma sheli kama huto jali tupate walau supu moto
 
Back
Top Bottom