Recent content by The Great of al Time

  1. T

    Lowassa Azidi kusonga mbele!

    IDIOT wewe mimi..?au hujui maana ya Great Thinker..?Nawekuwa Idiot kwako lakini sio kwawote.Ila wewe ni DULL
  2. T

    Lowassa Azidi kusonga mbele!

    weka wazi yeye kama yeye katoa kiasi gani..?kwani vyanzo vingine vinaonyesha kuna Wafanyabiashara Wawili wametoa zaidi yake kufikisha jumla ya makusanyo Taslim.Kuitwa kwake kufanikisha zoezi kunaonyesha Wazi kwamba WIZI/MAFISADI ni wengi ikiwapo waliomsindikiza,japo KIDINI sadaka yeyote...
  3. T

    Wahandisi wa Tanzania baada ya miaka 50 ya uhuru

    Naomba Nianze na wewe kama Mfano..!!Mtoa Hoja Aksante,...Wewe Engnr usiye na haibu yakutumia Mamilion ya walipa Kodi kwa kusomea Fani Dhahiri ya Sayansi,ambayo huhitaji Ugunduzi na Uvumbuzi kama ilivyo moja ya sifa yake kuu,Naomba useme Project uliyofanya katika Mwaka wako wa Mwisho wa Masomo...
  4. T

    Kubwa Kuliko...!

    Waongezao I kwenye ing ni watu walioathiriwa na Sato pamoja na Matoke..!!ni athari ya Lugha Mama,hyo haipingiki wala haikwepeki atauwapeleke Scotland
  5. T

    Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

    Umekuja vizuri,analysis yako ipo sahihi,Japo inamapungufu ya Ubinafsi Tata,'NINGELIKUWA MWANACHAMA WA CHADEMA',ningeshauri Utata huo wa Utambulisho wa Itikadi yako Uutoe,au Unahtaji Kadi ya Uanachama iliuwe mwanachama wa chama Flani..?Amka,Upenzi/Uanachama udhihirika kwenye Kura,mengine Mbwembwe...
  6. T

    Tunaandaa nyaraka za kusajili kampuni kwa Tshs Laki 1 (Memorandum na Articles of Association)

    Kwa Ulimwengu wa Fikra ni dhahir kuwa Mmekomaa,Tatizo ni kwamba wa Tz tu wamaskini,je mnashirikiana na Taasisi yeyote ya Fedha ilikuitumia Rasilimali watu yakutosha iliyopo Nchini ?Tofauti na Hivyo hamtonifaa mimi mwenye Nguvu bila Mtaji..!
Back
Top Bottom