Recent content by The great man2

  1. T

    Rais Magufuli aagiza Taasisi za Umma zisizo na tija kupunguza wafanyakazi

    wapigwe chini 2 maana wanaitia hasara nchi unakuta shirika linajiendesha kwa hasara na kutumia pesa ya wananchi kujilipa mishahara minono wakati halina tija.wakatwe hakuna namna
  2. T

    Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    swali langu kwa magufuli. ni kitu gani atafanya kuhakikisha watumishi wa serikali wanalipwa kulingana na elimu/ugumu wa kazi na sio wanasiasa ambao hawana utaalam wowote mf.wabunge wanalipwa mishahara mikubwa kuliko wataalam wetu nini atafanya ?atuambie
  3. T

    Msanii jela miaka 10 kwa kumiliki fisi

    haki iko wap kama tembo wanauawa kila siku meno yanaenda ughaibuni,twiga wanapanda ndege watuhumiwa wanaangaliwa .uyu ku2mia fisi akiwa hai hata elimu hana hajui kama kosa uku tatitz likiwa ni kujikwamua kutokana na umasikin ulosababishwa na ccm unamhukumu miaka yot hiyo.mungu huwa analipa hapa...
  4. T

    Rais Kikwete azungumzia kauli za Magufuli kuikosoa Serikali

    Umeshikiwa akili.Nchi inadaiwa trion 40 wakati huo huo pesa za madin,utalii na rasilimali nyingine wanagawana mafisad ndani ya serikal afu unasema serikal imefanya maendeleo.yani unachokiona ni kama asilimia 10% ya pato limetumika kufanya hicho unachokiona afu about 90% wanalamba afu unasifu...
  5. T

    Mahakama Kuu imetoa siku 14 Mwanasheria Mkuu atoe ufafanuzi kuhusu mapingamizi ya CyberLaw

    Well done! Haya mambo ndo watu tunataka tuyaone kwa wasomi wetu sio kuwa mazuzu bila kuonyesha michango yao katk jamii. Nasema tena well done pambaneni mpaka kieleweke
  6. T

    Watanzania lazima tuiwajibishe CCM hatuna namna nyingine.

    Itakuwa ni fedheha na kuendeleza kiburi walichonacho ccm kama tutawarudisha madarakani tunashuhudia madudu mengi yanafumbiwa macho kwa sababu ya kulinda chama.Watanzania lazima tufike mahali tuwe na maamuzi sahihi mm kwa upande wangu sina chana ila siko tayari kuipa kura ccm kutokana na...
  7. T

    Magufili nashindwa kukuelewa, hivi unapo ponda yaliyofanywa na CCM unataka sisi tufanye nini?

    maguful atashindwa kuyatimiza anayodhania atayafanya kutokana na kuwa ndani ya mfumo mbovu wa ccm.mfano tuliona walivyo haribu mchakato wa katiba kwa kutetea maslahi yao binafsi na ya chama na miongoni mwa waloharibu ndo anaenda kuwa makamu wa raisi kama watashinda unategemea jipya gani kama sio...
  8. T

    CCM mlizarau maoni yetu ya katiba, ngoja tuwaadabishe.

    waondoke 2 tumewachoka kwa kiburi haw ccm tunataka mabadiliko
  9. T

    je huyu mgombea mwenza wa MAGUFULI si ndo alikuwa naibu spika wa bunge la katiba?

    Hakika hizi dharau za ccm tufike mahal tuzikatae huyu mama kama alishindwa kuwapatia wananchi katiba waliyoitaka na badala wake wakawa wanapitisha masuala kwa masilai yao na chama chao na kwa mbwembwe bila kujal masilai ya taifa hakika hatotufaa ata kwenye nafasi hii ya umakam wa rais, hivyo...
  10. T

    Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

    ujinga mpaka aseme lowasa ndo kianz kufanya kazi wanapoteza muda wananchi haadanganyiki
  11. T

    ITV jamani, mmenunuliwa?

    watakuwa wameshalambishwa chao ndo maana
  12. T

    Naomba samahani kwa niaba ya wafanyakazi wa Tanzania!

    m2 hopeless kama huyu angekuwa china kishanyongwa hafai kuishi
  13. T

    Huyu Said Juma Nkumba CV yake kumbe iko hivi... Na makelele yote yale Bungeni!

    sikipendi hiki kijamaa kingekaa huko huko ni full kapi.
  14. T

    Kweli CCM Tunachukiwa!

    kama bado unaipenda ccm inabid upimwe akili na ukipimwa amin uciamin utakutwa zimeruka
Back
Top Bottom