Recent content by The Grandson

  1. T

    Baba na mwanae

    Baba:- Unajua Tizo juhudi zako katika masomo hazitoshi, Mwalimu Nyerere alipokuwa na umri kama wako alijua kusoma na kuandika ndiyo maana walimpandisha madarasa haraka haraka.. MTOTO:- Unajua Baba juhudi zako katika maisha hazitoshi, Mwalimu Nyerere alipokuwa na umri kama wako alikuwa ni Rais...
  2. T

    Matukio ya kukumbukwa mwaka 2014

    Bus la Sumry kuua watu 33 Singida
  3. T

    Huu ni usaliti wa wabunge wetu

    Huu ni usaliti wa kila mpenda demokrasia
  4. T

    Huu ni usaliti wa wabunge wetu

    kuna mambo yanachanganya sana hapo, kama ukifikiria kwa kina, uamuzi uliofikiwa, na namna maazimio yalivyochezewa, na hatimaye hata viongozi wetu wa upinzani kukubaliana upande wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) , inanipa hofu kubwa, na hii itawaaminisha wananchi kuwa hakuna aliyekosea, bali wachache...
  5. T

    Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    VURUMAI lililoibuka Bungeni kuhusiana na akaunti ya amana BoT, maarufu ‘pesa za Escrow’, limedaiwa lina mkono wa kisiasa na maslahi ya kiuchumi kwa baadhi ya watu wazito. Licha ya ukweli kwamba Wabunge wana haki ya kujadili kwa uwazi kuhusu jambo hilo, uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwapo...
  6. T

    Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    YANAYOJIRI BUNGENI: YAJUE MAAZIMIO MAPYA WALIYOKUBALIANA WABUNGE KUHUSU SAKATA LA FEDHA ZA AKAUNTI YA ESCROW Mwenyekiti wa PAC Zitto Kabwe amesoma maazimio mapya ya Bunge kwa mujibu wa kamati maalumu iliyoundwa leo na kuhusisha CCM, PAC na UKAWA Azimio: Mamlaka ya uteuzi iwawajibishe na...
  7. T

    Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

    Huu umbea mtoa post ungekuwa karibu yangu ningekunasa vibao......
  8. T

    Hotuba ya mwisho ya gadafo

    HOTUBA YA MWISHO YA GADDAFI QADAFFI ANAANZA HIVI: "Kwa jina la Mwenyezi Mungu (Allah), Mungu mpaji, na mwenye rehema.... Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki. Nachokumbuka ni kuwa nilifanya kila nilichoweza kuwapa watu wangu nyumba, hospitali na shule. Na kila walipohisi njaa...
  9. T

    Kwanini marehemu halazwi kifudifudi?

    Mtu aliyekufa mzunguko wa damu husimama
  10. T

    Jiunge na mfuko wa afya ya jamii!

    Asante mtoa mada je ikitokea kulazwa je mgonjwa wa CHF atalazwa daraja la kwanza kama ilivyo anaetumia NHIF...????
Back
Top Bottom