Recent content by The Good

  1. The Good

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viwanja vya ndege vya Kenya ni bora kuliko Tanzania

    Kenya kimewekwa kiwanja kimoja tu cha Jomo Kenyata Intarnational Airport wakati Tanzania vimewekwa viwanja vilivyopo nje ya dar. Weja JNIA tuone.
  2. The Good

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Haji Manara ni mkubwa kuliko TFF

    Hilo ni kweli. Lakini Je umaarufu wake ni kinga dhidi ya uvunjaji sheria!? Sheria ya kubagua hadhi ya mtu haipo Duniani. Kama anaamini hakustahili hiyo adhabu basi akate rufaa.
  3. The Good

    JamiiForums Tanzania Lawrence Mafuru aliewahi kuwa MD wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ateuliwa kuwa Kamishina wa Sera Wizara ya Fedha

    Kweli kabisa. Kujiajiri siyo mchezo katika nchi hii.
  4. The Good

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba, Uteuzi wako wa Mama Maajar kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO una mgongano wa maslahi

    Utaratibu ni kwamba Wakati wa kuunda Bodi Waziri anapeleka majina yasiyopungua matatu kwa nafasi ya Mwenyekiti na Majina ya Wanaopendekezwa kuwa Wajumbe wa Bodi Wote hao wanafanyiwa Vetting Baada ya hapo Rais anateua mwenyekiti kutoka hao watatu au anakataa wote na kuteua anayeona anafaa Majina...
  5. The Good

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa alituvusha salama kutoka Awamu ya Tano, nashauri daraja la Tanzanite liitwe Samia

    Daraja la MKAPA Daraja la MAGUFULI Daraja la MFUGALE Daraja la KIJAZI Inatosha Hatutaki daraja la mama
  6. The Good

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu Mrs. Prosscovier Luhaga afariki Dunia

    RIP Madame At our time She was academic Mistress while Mr was Discipline Master under Mr Msaky as head Master Those old good days
  7. The Good

    JamiiForums Tanzania Je, Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Chalinze, Kuruthum Amour Sadik hajaapishwa?

    Wakurugenzi hawaapishwi Mtoa mada kakurupuka
  8. The Good

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

    Uko sahihi Mama ameongea ukweli. Yeye kama mama na kama Bibi anaangalia maisha ya hao wasichana baada ya kuacha kucheza mpira. Sisi tunasema amewadhalilisha lakini moyoni tunaamini anayosema.
  9. The Good

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima Achana na mambo ya chanjo, Serikali nzima imekuangushia mzigo peke yako

    Ndiye Waziri mwenye dhamana So ndiyo kazi yake Rais hawezi kuzungumzia jambo moja kila siku wakati mawaziri wapo Actually ni sahihi kwa waziri kulivalia njuga
  10. The Good

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwenye chanjo ya COVID-19 leo

    Nadhani wameitikia vya kutosha. Hii awamu ya watu wenye umri mkubwa na wagonjwa. Hao wote wako hatarini na mwitikio kwa kituo nilichochanja ni mzuri Labda tusubiri wahusika after a week or so watupe mrejesho kitaifa
  11. The Good

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwenye chanjo ya COVID-19 leo

    Leo nimebahatika kupata chanjo katika kituo cha jirani. Vitu viwili ambavyo nimeviona na nadhani kuna haja ya wahusika kuvifanyia kazi ni hivi 1. Booking Jana nilifanya on-line booking na kuweka tarehe ya leo katika kituo nilichochagua Nilipofika kituoni nikakuta hawana taarifa yoyote ya...
  12. The Good

    JamiiForums Tanzania Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

    I agree with you Mbowe alijisahau akaanza kumtisha mama labda alisahau kuwa she is President Bahati mbaya naona sympathy ya Wa TZ kwake imepungua sana
Back
Top Bottom