Recent content by The golden

  1. The golden

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mishahara kwa watumishi wa Umma Novemba 2024: Kwanini Serikali haikulipa mishahara kwa baadhi ya watumishi hadi leo?

    Yes ,watu wengi hawajapata mshahara . Tunasubiri taarifa rasmi Kuna tatizo Gani?
  2. The golden

    JamiiForums Tanzania Nina Tatizo la kugairisha mambo/mipango (Procrastination)

    Nasubiri watalaamu waje
  3. The golden

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mbunge Adai Walihongwa Milioni 41 Kupitisha "Finance Bill"

    Ujinga kabisa ,Kwa hiyo watu waache kudai katiba eti Kwa sababu wabunge Kenya wamehongwa. Hivi shule huwa mnaenda kufanya nini?
  4. The golden

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazoongozwa vizuri

    Weka data kuhusu uhuru wa mahakama za SA na Bongo, halafu tuone.
  5. The golden

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazoongozwa vizuri

    Boss, support your arguments with data, this is how critical people do.
  6. The golden

    JamiiForums Tanzania Je ulishawahi kufanya kazi au kuwa na cheo ambacho kila siku unatishiwa kufukuzwa au kutenguliwa?

    Asante mkuu. Umeandika comment positive sana.
  7. The golden

    JamiiForums Tanzania Je ulishawahi kufanya kazi au kuwa na cheo ambacho kila siku unatishiwa kufukuzwa au kutenguliwa?

    Hakuna kitu kinakatisha tamaa kama kufanya kazi ambayo unatishiwa kufukuzwa kila siku. Hali hii inauwa kabisa ubunifu na uchapa kazi maana huna uhakika na kesho yako. Au ulishawahi kuwa na cheo au nafasi ambayo kila siku unatishiwa kutenguliwa?, Katika sekta ya elimu kuna cheo fulani leo...
  8. The golden

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame aliwahi kusema anataka kumpiga Kikwete

    Mbona hueleweki wewe?
  9. The golden

    JamiiForums Tanzania Mbona viongozi wa Chadema Wamekazana kufanya mahojiano kwenye TV Rafiki za CCM?

    Huyu jamaa hana content kabisa. Uzi gani sasa huo ameandika?
  10. The golden

    JamiiForums Tanzania Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

    Siyo kweli, ukisema hivyo maana yake hata sheria za kifizikia zinazotawala maisha ya mwanadamu hazina maana. Hayo maneno kutoka kwa mhubiri hujayaelewa vizuri.
  11. The golden

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mwenye dua ya Novena anisadie

    Assnte mkuu
  12. The golden

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mwenye dua ya Novena anisadie

    Asante sana mkuu
  13. The golden

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mwenye dua ya Novena anisadie

    Kuna watu wana nia mbaya na maisha yangu. Nataka kusali dua ya Novena ili nipite salama katika jaribu hili.
Back
Top Bottom