Recent content by The Fishport Prince

  1. The Fishport Prince

    Umasikini ni mbaya sana huwezi kukosa milioni 15 ya gari!!

    Wewe na Mimi tunaozurura jf saa Tisa tupo salama?
  2. The Fishport Prince

    Lijue tatizo jipya la kisaikolojia ambapo mtu aliyepata "mafanikio" kwenye maisha yake huamini kwamba watu wake wa karibu wanamchukia

    Kwanini kujenga ukweni ni vibaya mkuu? Mimi nina mpango huo siku za mbeleni maana kwetu mambo 'safi kiaina' ila mke wangu akienda kwao mpaka najisikia vibaya wanapolala watoto wangu maana ni nyumba mbavu za mbwa. Kuna ubaya gani nilijenga nyumba ndogo ya 15m Kwa mfano. Maana kwao hakuna mwenye...
  3. The Fishport Prince

    Huu mwaka 2023 ni kama umekwisha, umefanya nini cha maana?

    Mwaka 2024 utakua wangu! Nitafanya vitu kinyume nyume maana kawaida haijawahi kunilipa. Yaani nitafanya Kila kitu tofauti.
  4. The Fishport Prince

    Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

    Umewahi ona kesi ya jinai inafunguliwa na raia
  5. The Fishport Prince

    Nimeanzisha utaratibu wa kufanya kazi za nyumbani: Kufua, kuosha, vyombo, kupika etc

    Udogo wa mshahara unachangia pia ndo maana binti anaona bora kazi ya baa huko hakosi tips Kwa walevi mpaka elf 20 Kwa siku! Sasa mshahara wa house girl hauzidi laki Kwa mwezi
  6. The Fishport Prince

    Nimeanzisha utaratibu wa kufanya kazi za nyumbani: Kufua, kuosha, vyombo, kupika etc

    Sidhani! Tena natumia muda mfupi kufanya kazi kuliko yeye...saa mbili asubuhi I'm done. Only in weekend
Back
Top Bottom