Sina chuki binafsi na watajwa hapo juu. Inakera mibaba mizima inapokubali na kukumbatia uchawa ili ijaze mitumbo yao.
Ukisiliza matamko ya watajwa, unaishia kusononeka na kukata tamaa. Huyu kiumbe anaipeleka wapi nchi?
Wajuzi wa mambo tusaidie.
Tufanye nini kuondokana na Uchafu na uchawa huu...
Tamko la kuwafurusha Wabara Zanzibar linaketa, kuchukiza, kuhuzunisha , na uchokozi
Je, bado tunauhitaji muungano?
Je, bado unafaa?
Kama unafaa, unamfaa na kutomfaa nani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.