Recent content by The Farmer TZ

  1. T

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

    Mzigo bado hawajadrop?
  2. T

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

    Naomba msaada wakuu Najaribu kuingia kwenye account ya HESLB lakini inagoma, ni tatizo la wengi au ni miimi pekee.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaada, kuhusu Kusoma CPA

    Fungua hii link. ALL BOOKS: NBAA TZ
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msaada, kuhusu Kusoma CPA

    Module E hatuna siku hizi, tuna Intermediate level Masomo 6, Ishu ya materials ingia online NBAA kuna textbook & syllabus nadhani nitakuongoza vizuri Masomo ya kuanza nayo, hapo jiangalie mwenyewe ila huwa tunapenda kuanza na module tough ili tupate nafasi nyingi za kurudia Incase unakamatwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tofauti ya Bsc. In Chemistry- UDSM na Bsc. In Chemistry- MUCE.

    Mkuu angalia admission book ya TCU, zote zipo Bsc. Education na Bsc. In Chemistry- MUCE, Mtoa made yupo sahihi,
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwa Continous au Graduate wa Bsc. In Chemistry

    Ahsante sana mkuu,
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwa Continous au Graduate wa Bsc. In Chemistry

    Habari wakuu naomba kufahamu vitu vifuatavyo: 1. Objective 2. Career opportunity ya hii course 3. Uhusiano wake na Course ya Pharmacy 4. Kuna Bodi ambayo inasimamia hii kitu
  8. T

  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tofauti ya Bsc. In Chemistry- UDSM na Bsc. In Chemistry- MUCE.

    Boss kama sijakupata vizuri, unaweza weka sawa maelezo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tofauti ya Bsc. In Chemistry- UDSM na Bsc. In Chemistry- MUCE.

    Ok, ila nilikuwa ninawasi labda Bsc. ya MUCE itakuwa specialized kwenye Education
  11. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tofauti ya Bsc. In Chemistry- UDSM na Bsc. In Chemistry- MUCE.

    Habari wakuu naomba kufahamu kama hizo course zinatumia mtaala mmoja,
  12. T

    JamiiForums Tanzania ATEC II & CPA Review Classes: Covenant OR Cornerstone?

    OK,Ahsante mkuu...Ila kama darasani ni Centre gani itamfaa?
  13. T

    JamiiForums Tanzania ATEC II & CPA Review Classes: Covenant OR Cornerstone?

    Habari Wakuu nina mdogo wangu anataka kufanya class review ya ATEC II, kwa Dar Es Salaam ni centre ipi itakuwa poa kwake kati ya Covenant na cornerstone?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kitabu cha Principles of Physics for class XI, S Chand

    Nipe email yako....nikikupa sambaza kwa wadau
  15. T

    JamiiForums Tanzania Drip irrigation system-Gharama

    Mtafute huyu jamaa 0744 989 483 kutoka Agro-Africa
Back
Top Bottom