Kwa Continous au Graduate wa Bsc. In Chemistry

Aug 22, 2014
21
7
Habari wakuu naomba kufahamu vitu vifuatavyo:
1. Objective
2. Career opportunity ya hii course
3. Uhusiano wake na Course ya Pharmacy
4. Kuna Bodi ambayo inasimamia hii kitu
 
Objective ni kuproduce chemists ambao watafit in different chemistry related fields available

Hii course ina specialize ktk hz sehemu analytical chemistry,medicinal chemistry, industrial chemistry, quality control and quality assurance, waste& environmental management e.t.c

Mara nyingi wahitimu wa hii course sehemu zao za kupata kazi waga ni viwandani, GCLA,TBS,NIMR, TMDA, WATER QUALITY LAB and other related fields.

Uhusiano uliopo baina ya hii course na pharmacy ni kwamba hawa watu wanasoma medicinal chemistry ambapo in medicinal chemistry kuna pharmacokinetics and pharmacodynamics where they can formulate and design structure formula of compounds za dawa tofauti tofauti.

Hawana bodi , Ila kwa SASA bado wapo chini ya ofisi ya mkemia mkuu wa serikali (Government chemist laboratory authority) ambayo ipo chini ya wizara ya afya lakini wapo kwenye mchakato wa wao pia kuwa na bodi ya wakemia.

Lakini pia ukiwatoa watu wa engineering, madaktari kwa upande wa science hapa Tanzania, hawa pia ni watu wanaotambulika na serikali tofauti na watu wa Bsc in physics, biology, molecular biology and biotechnology, microbiology.

N.B wapo wengine watukuja kukupa details Zaidi ila kiufupi ndo ilivyo hivyo.
 
Ahsante sana mkuu,
 
Back
Top Bottom