Recent content by The email

  1. The email

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Ukimwi ni kama pesa,kila mtu hana
  2. The email

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka 35-55 inaweza kuwa ya kutisha kwa wanaume. Kitumie vizuri kipindi cha miaka 20-35

    Ukianza kupoteza wazazi au walezi ndo akiri itaanza kuamka na utatambua kuwa umekuwa . Kuna wakati unapata changamoto na unakuwa unahitaji japo ushauri tu wa wazee lakini unagundua walio kuwa wanakupa ushauri konki haupo nao tena . R. I. P my lovely uncle[emoji24]
  3. The email

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna amani ila uhuru wetu umebagazwa na kubanangwa

    Kwa fikra zako hizo upo kwa masirahi ya mwanachi wa nyumbani kwako,watoto wako,na sio Watanzania wanao tekwa na kuuawa kila uchwao,
  4. The email

    JamiiForums Tanzania Ni vema Askofu Ruwai'chi akatubu kwa kumuita lofa mtu aliyemshitaki Padri Kitima kwa Papa

    Hivyo unapingana na ukatoliki kwa kuwa unapinga mitazamo ya wakatoliki wenyewe, nenda kasilim tu mkuu Au utuambie unachokipinga ni kipi kwa kitima, au anayo yakemea hujayaelewa? Mboga mboga mnamatatizo ya akiri bila shaka
  5. The email

    JamiiForums Tanzania TMA yatahadhalisha kuwepo mvua kubwa mikoa 20

    Mvua imekata sasa
  6. The email

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua ya wazi kwa Balozi wa Papa juu ya kauli ya Askofu Ruwa’ichi

    🫣🫣🫣Malofa hawapati usingizi [emoji1787]
  7. The email

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Malofa kwa Papal Nuncio

    Malofa siku zote hwana cha kujibu[emoji3][emoji3]
  8. The email

    JamiiForums Tanzania Ccm ni terrorist organization

    Hawa watu inatakiwa watengwe na jamii yote,
  9. The email

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwl Nyerere aliwahi kuwa na Vikundi vya machawa vinavyolipwa kuliko maofisa wa serikali?

    Uchawa upo enzi na enzi, hata watemi wa zamani walikuwa na machawa, wakaja wakoloni wakapata machawa, mwafrika mwenzako anakuuza kwa mzungu hata mauti ikukute yeye anachekelea tu. Hata kwenye familia zetu kuna machawa wa baba na mama,enzi hizo chochote mkifanya nyumbani pasipo uwepo wa...
  10. The email

    JamiiForums Tanzania Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

    Christmas njema [emoji120]
  11. The email

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu kuweka lamination kwenye vyeti vya shule na hati ya kiwanja

    Zipo stationary,siku izi ujanja mwingi,lakini wahitinu wengi vyeti vipo laminated na wapo maofisini [emoji3][emoji3] Hawa wezi wa siku izi na wana sheria uchwara wana tafuta mbinu za kupiga watu na kufanya mambo yawe magumu Ila ule mhuri wa moto huwa unafutika ukilaminet ,mi nili laminate tin...
  12. The email

    JamiiForums Tanzania Hakuna nilichofanya mwaka 2025 cha maana, nashukuru tu niko hai

    Huu mwaka huu[emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom