Recent content by THE DON KIBEDAI

  1. T

    Regia Mtema is No More!

    Aisee kifo hiki kimenigusa sana,....sina cha kusema lkn mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi,...!!!!!
  2. T

    Kafulila aifunika KIGOMA

    Watu tujikite kwenye hoja za msingi,........ Watanzania wenzangu mbona tunakuwa wepesi wa kusahau tunakimbila kwenye hoja zisizo na mashiko,...watu wanalalamika kafulila kaonewa,..kwangu mie hainingii akilini,.... Ilikuwaje jamaa akaomba msamaha kama kweli alikuwa anapigania haki yake kwenye...
  3. T

    Niliyoyafanya tangu niwe Mbunge-Shukrani kwa WanaJF

    hongera kamanda,.......safari bado ni ndefu!!!!!! aluta kontinua,........
  4. T

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Pole yakeeee,..........ngoja turudi kigoma tukachukue jimbo!!!!
  5. T

    Dr.hamisi kigwangalla acha undumila kuwili,...!!!!!!!

    DR.HAMISI KIGWANGALLA ACHA KUCHEZA NA AKIRI ZETU WEWE,..HUU UNAOUFANYA NI UNDUMILA KUWILI NA UOGA WA KUOGOPA KUWAJIBIKA,....!!!! USIWE BENDERA FATA UPEPO,.. WEWE KAMA BADO WAHITAJI POSHO IONGEZEKE ENDELEA KUIDAI TUACHE TUNAOIPINGA,.....!!!! TOKA HUKO ULIKO UJE UTUAMBIE WEWE UMETUMIA VIKAO GANI...
  6. T

    Posho za wabunge: Kigwangala on January Makamba

    kingwangala ni chizi,..hii ndio mizigo inayotusumbua......
  7. T

    Tanzania taifa liliopoteza mwelekeo,....!!!

    tanzania taifa ililopoteza mwelekeo, matumaini hayapo tena juu ya ​ 1;maisha bora, 2;huduma za afya bora, 3;elimu bora, 4;miundombinu bora, 5;nishati bora, 6;unafuu wa gharama za maisha ni lini watanzania wenzangu tutachukua hatua dhidi wale waliolihujumu na wanaolihujumu taifa na...
  8. T

    Msaidizi wa Mwl. Nyerere (Mzee Kasori) alivyowashukia viongozi wa serikali ya awamu ya nne

    Kama unachukia dhulma ya ufisadi nakili, kisha unukuu katika wall yako ili ushiriki kumzindua lowasa kusema ukweli.......tusaidiane katika vita hii.
  9. T

    GE2010 Shy-Rose Bhanji ..na mtazamo wake huko Igunga

    mie napingana na nyie,.......kuhusu shibuda ,..yeye alipingana na sera za chama chake ambazo alitakiwa kusimamia kwa sababu ilani ya chadema ndio iliyompeleka bungeni,....kwahiyo kulimwa barua ni muhimu,...!!!!! Dada huyu shy-rose banji sizani kama anampango wa kuhama chama kwani kama ni hivyo...
  10. T

    GE2010 Shy-Rose Bhanji ..na mtazamo wake huko Igunga

    Mie binafsi namponeza kwa juhudi zake za kuwa mkweli na kusimamia kile anacho amini,......sijaona kosa lake kama wengi mnavyomtuhumu,....kwani ni wachache wenye uwezo wa kusimama na kusema ukweli ndani ya chama cha mapinduzi,...!!! Na ikumbukwe si yeye pekee ndio ameanza kosoa chama hiki...
  11. T

    Majibu ya Shy-rose Bhanji kwa US blogger juu ya JK

    Kaka .....shy-rose banji ni mfano wa kuigwa ndani ya chama cha mapinduzi na pia ni mfano kwa wanaharakati wote kwani anauwezo wa kusimamia kile anachokiamini ni sawa,....!!! Ni kweli chama hiko kimeoza lakini kujitokeza kwake nakuwa side ya wanyonge ambao ni watanzania wengi ni ujasiri wa khali...
  12. T

    Majibu ya Shy-rose Bhanji kwa US blogger juu ya JK

    Kaka .....shy-rose banji ni mfano wa kuigwa ndani ya chama cha mapinduzi na pia ni mfano kwa wanaharakati wote kwani anauwezo wa kusimamia kile anachokiamini ni sawa,....!!! Ni kweli chama hiko kimeoza lakini kujitokeza kwake nakuwa side ya wanyonge ambao ni watanzania wengi ni ujasiri wa khali...
  13. T

    Majibu ya Shy-rose Bhanji kwa US blogger juu ya JK

    us blogger tusaidie hapa, . . . . napenda kutoa pongezi kwa mwanaharakati shy-rose bhanji kwa majibu yaliyo jitoshereza......kwani amethubutu kusema ukweli, na ameweza kuusema ukweli na anasonga mbele,....... Bravo shy-rose......
  14. T

    Nape na ombi lake kwa vijana...........

    nape acha kuwa kama samaki aliyevuliwa, . . . .jibu hoja za gazeti husika na si kuja na majibu ya jumla na hoja nyepesi hapa!!!! Kukimbia kwako katika jamvi hili sitoshangaa kwani imekuwa ni kawaida yako, . .wewe ni nani ambaye hautaki kukosolewa??? Na ni kiongozi gani usiyependa...
  15. T

    Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA ahamia CCM, Nape asema Zitto ameogopa kwenda Igunga

    Magamba bwana, . . . .katika msafara wa mamba na kenge wamo,. . . Huyo diwani ni kenge katika chama chetu makini, . . .!!!!!!!
Back
Top Bottom