Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,159
- 4,443
Tatizo la nchi yetu utasikia sasa hivi vikwazo atakavyoanza kuvipata huyu dada, kama anafanya kazi hata kama ni private watajaribu kupeleka mkono, kama anafanya biashara, timu kubwa ya kuchunguza kama analipa vizuri kodi itaundwa. Hivi tuseme Mungu katuchukia kiasi hiki mpaka kuiacha tume ya Taifa ya uchaguzi ifanye haya iliyoyafanya kuhusiana na urais wa kikwete? Sitaki kujificha sana NINAMCHUKIA SANA KIKWETE