Recent content by The Dark Father

  1. The Dark Father

    Nimependa TCRA ya India Inavyofanya Kazi Kiweredi Zaidi

    Walichofanya hiyo taasisi ni overreaction. Maamuzi ya busara ni kuweka options zote. Wangeamuru tu kuwa hizo biashara ni lazima kuweka huduma za kununua huduma ya chaneli moja moja. Na hizo huduma za bundle/kifurushi kama vile zilivyo ziendelee kama moja ya options hizo.
  2. The Dark Father

    Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Leo ndio nimejua kwamba barua ya kujiuzulu ya Spika wa Bunge la JMT, inaelekezwa kwa katibu mkuu wa chama chake kwanza, kisha nakala kwa katibu wa bunge
  3. The Dark Father

    EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

    Hapa mwisho wa siku waumini wa team mbili watatupiana vijembe weee... itakuwa usiku, itakuwa asubuhi, siku nyingine.
  4. The Dark Father

    Wazanzibar kuongoza Wizara/Taasisi zisizo za Muungano imekaaje kisheria?

    Ngoja, Nchi ina serikali 2. Moja ya Muungano, moja ya Zanzibar. Sasa mambo ya kiserikali na kiutawala yasiyohusu muungano na yasiyo ya zanzibar, ni ya serikali ipi au uongozi upi?
  5. The Dark Father

    Mauzo ya data Tanzania ni hasara

    Makampuni ya simu hayafanyi biashara moja. Corporation nyingi hazipati faida kabisa kwenye biashara fulani, hivyo wanatumia biashara hiyo yenye hasara ku-compliment kule ambapo faida inaingia. Mfano, wanavyo-'promote' ukinunua kwa mobile money utapata na benefits za ziada ni njia ya kuongeza...
  6. The Dark Father

    Part II: Bado safari yangu ya kusaka utajiri wa nguvu za giza inaendelea

    Siri ya kuwa tajiri ni bahati. Sifa za bahati: 1. Hainunuliwi 2. Haichaguliwi 3. Haidumu 5. Hailogewi
  7. The Dark Father

    Tundu Lissu: Samia ni Malkia mwenye kauli tamu

    Huwa natabasam kila nikisikia hizi kauli za confirmation bias: Kumwelewa ..........(jaza mtu)....... inahitaji akili kubwa sana.
  8. The Dark Father

    Wito kwa Dkt. Faustine Ndugulile na Mhandisi Kilaba; Semeni ukweli kuhusu vifurushi

    Narudia tena. Sina tatizo na mtu anayekwepa kodi... au kufisadi. Chukua chako mapema, kula bata.
  9. The Dark Father

    Ushuhuda: Nilichokiona kwenye kikao cha ukoo/familia, bila pesa huthaminiwi

    Raha ya kutothaminiwa ni kuwa hutopewa majukumu makubwa.
  10. The Dark Father

    Ikitokea mtu amekataa wito wa Rais kwenda Ikulu atachukuliwa hatua gani?

    Sijui kwa nini mnadhani sheria na tamaduni za US ni universal. Ya Kaisari, yatafanyika kwa mujibu wa Kaisari.
  11. The Dark Father

    Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

    Maza kajibu kiutu uzima... Ni kama uulizwe lini utajenga ukweni. Unawaacha 50 50.
  12. The Dark Father

    Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

    Sometimes sheria huwa na 'cliffhangers'... Hakuna kielelezo kilichokamilika kuhusu ishu ya baraza. Tukio hili ni jipya, kwa hiyo suala ni la kubishania mahakamani, ili mahakama itoe tafsiri ya mwisho kwa ajili pia ya huko mbeleni. Ni kama ishu ya presidential impeachment ya USA, katiba yao...
Back
Top Bottom