Wana jamvi, mtakumbuka kwamba jana Jukwaa la Sekta Binafsi Tanzania lilifanya Mkutano wake Mkuu ambapo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe. Mary Nagu alikuwa Mgeni Rasmi. Katika hotuba yake, aliungana na wadau wa Sekta Binafsi kulaani wale wote wanaosema kuwa...
Makamanda wakitokea Etaro kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kupeleka maandamano yao bila kikomo sasa wapo maeneo ya Bukanga kwenye Mtambo wa Maji
.
Hivi waandishi wa habari msipoandika habari za uzushi hamfurahi? Kwa wale matomaso, nendeni ofisi za Bunge Dar, mtalikuta gari la Kioungozi wa Upinzani Bungeni (KUB) likiwa limepaki nje na halijashikiliwa na polisi wa KENYA kama ambavyo magazeti yameripoti. Kilichotokea ni kwamba askari wa Kenya...
BAADA YA MCHUANO MKALI BAINA YA WABUNGE WANAWAKE KUTOKA ZANZIBAR, HATIMAYE, MHESHIMIWA AMINA ABDALLAH AMOUR AMEFANIKIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA UMAKAMU MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM.
WAJUMBE WOTE WA BUNGE MAALUM MPENI KURA ZENU. (PICHA IMEAMBATANISHWA)
CV YAKE HIYO HAPO CHINI
MCHAGUE AMINA...
Katibu wa itikadi nna uenezi wa propaganda za CCM Taifa Nape Nnauye, amemwagiwa mvua ya zomeazomea alipojaribu kuwakashifu viongozi wa CHADEMA kuwa ni vigeugeu katika mkutano wa hadhara
huko Bunda,Musoma. Nape amezomewa mfululizo jambo ambalo limemfanya ashindwe kuendelea na mkutano hadi Katibu...
Leo kulikuwa na tafrani bungeni baada ya naibu spika wa bunge kuita askari kuingia ndani ya ukumbi wa bunge kumtoa kiongozi wa upinzani kwa nguvu jambo lilozua fujo na kusababisha mbunge wa CUF Moza Abeid kuvuliwa hijab yake kinyume kabisa na miongozo ya dini ya kiislam. Je huu ni uungwana?
Inabidi kuwa makini sana na hii issue ya madawa ya kulevya. Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa kuna viongozi wa kubwa serikalini wanaofanya biashara hii moja kwa moja. Nasema hivi kwa sababu tangu waziri Kivuli wa Mambo ya ndani ya nchi Mhe. Vincent Nyerere atoe tamko kuhusu biashara haramu ya...
Kambi Rasmi ya Ulpinzani Bungeni imeikemea vikali Serikali ya JK kukomesha haraka biashara ya dawa za kulevya ambayo imekithiri hapa nchini la sivyo ikubali kubeba lawama kuwa inahusika na biashara hivyo. Hayo yamesemwa na Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Vincent Nyerere wakati...
Hongera Kamanda. Kwa jinsi ulivyofunguka na kufurahi, hakika furaha yako haitaishia hapo. Umefungua ukurasa mpya katika maisha yako ya kisiasa. Sasa chukua hatua. Fanyia kazi tukio la leo. Nakuhakikishia mwaka kesho majira kama haya utakuwa kiongozi katika jamii yako ili uwape furaha kama wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.