Mh.Mbowe popote ulipo nasema Asante

Mh.Mbowe popote ulipo nasema Asante

Hongera Kamanda. Kwa jinsi ulivyofunguka na kufurahi, hakika furaha yako haitaishia hapo. Umefungua ukurasa mpya katika maisha yako ya kisiasa. Sasa chukua hatua. Fanyia kazi tukio la leo. Nakuhakikishia mwaka kesho majira kama haya utakuwa kiongozi katika jamii yako ili uwape furaha kama wewe ulivyopata furaha leo. God bless you!!!!!!! Mungu ameipokea furaha yako.
Huko Iringa kuna operesheni gani? Au walikuwa wanapita tu? Nijuze kamanda
 
Wana JF,

Huyu mtu ametumwa na nafsi yake kuja kushare furaha aliyonayo baada ya kusalimiana na Mbowe, hii inaonyesha Matumaini makubwa waliyonayo waTZ kwa Chadema na hawa wanaokaa UK, wengine Ulaya na Lumumba kuwakejeli waTZ na viongozi wao wa kuchaguliwa.
 
mimi juzi nilikuwa pale new africa hotel siku ile alipokuja obama kiongozi wa ngazi za juu katika magamba anataka kunipa mkono nikakataa kwa angeniharibia siku.

hahaaaa, kwa hiyo angekuwa Mbowe ungempa mkono fasta?
 
Mimi kuliko nipewe mkono na mkwe..re ni afadhali ya mwenyekiti wa tawi wa chadema mara elfu...magamba ni laana ya taifa.
 
Post hii watu wengine wanaweza kuiponda ila ina maana kubwa. Rudini kule kwenye post ya PM kupata ajali ndio mtajua kuwa matendo mabaya yanatufarakanisha vipi na binadamu wenzetu.
Somo kwa viongozi ni kuwa ukitetea wanyonge watajisikia wewe ni chaguo la MUNGU na kukupenda. Ila ukitumia madaraka yako kinyume watakulaani kama shetani.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Naelewa unavyojisikia,umenikumbusha nilipokua chuo kulifnyika kongamano la vijana pale ddc,siku ile nilipata fursa ya kushikana mkono na tindu lisu,kwanza siku hiyo sikunawa mikono,nilijisikia mwenye amani na uwezo wangu wa kiakili uliongezeka maana ndani ya mwezi mmoja huo test nilizofanya chuoni hakuna niliyopata chini ya 17/20.
 
Nikiwa namalizia kupata chai yangu asubuhi hii kwenye mgahawa moja unaitwa Udizungwa hapa Iringa Mjini mara akaingia mh. Msingwa na viongozi wengine wa CHADEMA wakiwa pamoja na kamanda wa anga Mh. Mbowe.

Baada ya kuingia Mh. Mbowe akasalimiana na watu wengine tuliokuwepo mule ndani na moja kwa moja wakaja kukaa na karibu na meza niliyokuwa nimekaa na nikapata bahati ya kutoa mkono wangu na kusalimiana na Mh. Mbowe, nimefurahi sana kusalimiana na Mh.Mbowe nimejiona ni mwenye bahati sana leo.

Mh. Mbowe popote ulipo ujue yule kijana aliyesimama pale wakati unapata supu yako akakupa mkono akakuambia shikamoo amefurahi sana tena sana.

Asante Mh.Mbowe Mungu akubariki sana leo nimefurahi sana ni siku nzuri sana kwangu...Mh. Msigwa na viongozi wenzako nawatakieni kheri sana endeleeni kutetea wanyonge na sisi tupo kwa ajili yenu kwa maombi na dua zetu...

Mungu ibariki Tanzania.
Kura unapiga lakini?
 
Sasa subiri utapokutana Kinana akiwa ameambatana na Mwigulu Nchemba...nadhani utafurahi mara mia ya hapo.

Wewe kwanza mwenye nembo hii ya MANAZI hapa Ujerumani hautufai, hata Tz hautufai- Emetoka Hamburg- nenda kajiunge na wenzako amabao wako jela kama Zschäpe n.k
 
Mimi kilichonifurahisha zaidi ni kusikia Mh. Mbowe leo yuko Iringa, ni jana alikuwa anahojiwa na polisi hapa Dar, huyu Kiongozi ni shupavu hana muda wa kupumzika ina maana baada ya mahojiano akawa anaanzisha safari kwenda Iringa, maccm kazi wanayo
 
Nikiwa namalizia kupata chai yangu asubuhi hii kwenye mgahawa moja unaitwa Udizungwa hapa Iringa Mjini mara akaingia mh. Msingwa na viongozi wengine wa CHADEMA wakiwa pamoja na kamanda wa anga Mh. Mbowe.

Baada ya kuingia Mh. Mbowe akasalimiana na watu wengine tuliokuwepo mule ndani na moja kwa moja wakaja kukaa na karibu na meza niliyokuwa nimekaa na nikapata bahati ya kutoa mkono wangu na kusalimiana na Mh. Mbowe, nimefurahi sana kusalimiana na Mh.Mbowe nimejiona ni mwenye bahati sana leo.

Mh. Mbowe popote ulipo ujue yule kijana aliyesimama pale wakati unapata supu yako akakupa mkono akakuambia shikamoo amefurahi sana tena sana.

Asante Mh.Mbowe Mungu akubariki sana leo nimefurahi sana ni siku nzuri sana kwangu...Mh. Msigwa na viongozi wenzako nawatakieni kheri sana endeleeni kutetea wanyonge na sisi tupo kwa ajili yenu kwa maombi na dua zetu...

Mungu ibariki Tanzania.

kumbe wewe unapatikana kwa gharama ndogo kiasi hicho basi wengi watakupata kwa urahisi sana.
 
watu wa iringa wajipange majambazi na magaidi yameingia huko
 
watu wa iringa wajipange majambazi na magaidi yameingia huko

eeh usiniambie kuwa Mwigulu keishatiga Iringa?? hivi huyu mtu damu za watanzania anazifanyie nini? vp kaenda na Tesha?
 
Naelewa unavyojisikia,umenikumbusha nilipokua chuo kulifnyika kongamano la vijana pale ddc,siku ile nilipata fursa ya kushikana mkono na tindu lisu,kwanza siku hiyo sikunawa mikono,nilijisikia mwenye amani na uwezo wangu wa kiakili uliongezeka maana ndani ya mwezi mmoja huo test nilizofanya chuoni hakuna niliyopata chini ya 17/20.

Hahahaha!!
 
Back
Top Bottom