Wakuu hapa tujadili siasa ktk elimu yetu hii marehemu tuache vjembe vya ukabila na ukanda! Kusema kweli cku hizi hakuna matokeo halali kutoka Necta zimebaki siasa tu watakavyo TAMISEMI. Kama mnakumbuka yale ya kidato cha sita 2012 eti wanafunzi waliotokea shule za kata waliingia top 10 na...
Hii ni kwasababu serikali ishakufa, tcra wanadili na makosa ya mitandao tuu! Na huenda wapiga kampeini wa chama kilichokataliwa na wananchi wamekopa huko kwa makubaliano hayo! Nanyie voda subirini mabadiliko tunafufua ttcl alafu mtauziwa hisa za mawacliano wizi wenu mwisho mtahama wenyewe!
Nilisema baadhi ya makanisa ya Kipentekoste esp.yale unakuta Askofu ndo huyo mwenye ministry ndo mchungaji na oanisa moua tu analoongoza yy hana kanisa jingine ja wala hana mpango wa kupanda kanisa. Tunayoeleza ni ukweli tulioshuhudiasjyo za mtaani.
Jamani Wakristo tuwaombee watumishi wa Mungu awaondolee hili pepo la tamaa ya fedha! Makanisa mengi haya ya Kipentekoste hamna hoja nyingine ya ibada ni fedha kwanza! Mahubiri yote ni kuanzisha sadaka ambazo hazijaandikwa hata kwenye biblia! Mara ukitaka Mungu akufungue kwenye jambo fulani njoo...
kwenye katiba alikuwa malaika tulimpenda sn lkn baada ya kuvutwa na chama cha wala bata wa nchi hii tayari.....kashakuwa shet.....! Wala hatuhitaji habari zake tena!
Nakushukuru kwa kuwa unajua na biblia. Paulo hapo awali aliitwa sauli cjui km unafahamu habari hii! Alikuwa mtaabishaji mkubwa wa kanisa lkn baada ya kukutana na Kristo akawa ndo mkombozi wa kanisa. Lkn kwa waliomjua km Sauli haikuwa rahisi kumuamini walisema maneno km yako! Piga magoti mwombe...
EXCELLENT! Katika kushindwa kwa 100% ni ktk elimu. Wafute kabisa kauli ya kuleta elimu bora. Leo hii wameamua kuwaweka wazi watanzania kwa kuwapa jina lao sahihi "malofa" maana wamewazalisha wenyewe kupitia mifumo ya elimu mibovu ya shule za kata bila walimu wala resources, wanafunzi 100 chumba...
Sifa unazotoa kwa magufuli ni sahihi kabisa lkn naona kiongozi ulisoma ngumbaru coz naona hakuwa kufanya debate wala group discussion! Tambua magufuli amesimamia nguzo ya ccm chamba ambacho miaka amsini kimeshindwa kuboresha pato la mtu mmoja mmoja pamoja na kuomba misaada hadi Vietnam na...
Angehamia ukawa hapo ndo angeitwa oil chafu lkn akibaki SISI MA.... hapo ni super fuel. Nasema hilo jimbo lake na la Chenge ccm wameamua kuyauza ukawa kwa bei nafuu!
Mabadiliko ya kisiasa mara zote hutegemea nyakati na mahitaji ya wananchi kwa wakati husika. Hayategemei chama au mtu! Nawasii wananchi tuendelee kuunga mkono jitihada za ukawa! Namsihi Mzee Lowasa ajiunge kwa roho moja lkn wafuatao awaache huko ili tuwashughulikie baadaye: Andrew Chenge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.