Maombi kwa hawa watumishi wa Mungu

Maombi kwa hawa watumishi wa Mungu

The Cerebrum

Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
31
Reaction score
9
Jamani Wakristo tuwaombee watumishi wa Mungu awaondolee hili pepo la tamaa ya fedha! Makanisa mengi haya ya Kipentekoste hamna hoja nyingine ya ibada ni fedha kwanza! Mahubiri yote ni kuanzisha sadaka ambazo hazijaandikwa hata kwenye biblia! Mara ukitaka Mungu akufungue kwenye jambo fulani njoo na mil1.

Wakati kuna mwenye tatizo kama hilo na kipato cha mtu huyo ni elfu kumi, kwahiyo huyo mtu hafunguliwi! Mungu gani huyo mbaguzi mnayemtumikia ninyi? Mbona mmeligeuza hekalu kuwa pango la wanyanganyi? Watu wameamua kuacha kuja makanisani kwa kukimbia sadaka kibao na michango ya lazima?

Mafungu ya kumi na safaka za kawaida hazitoshi? Mnataka kuwa na magari ya kifahari sn na nyumba nzuri sn eti! Hiyo ndo kaziba Mungu aliyowaitia? Msihangaikie vitu vya duniani watafuteni kondoo kwanza walionunuliwa kwa damu ya thamani. Mkimpoteza hata mmoja kwa tamaa zenu mna deni kubwa kwa Mungu!

Tubuni mkarejea matendo mema ya awali ya Kristo!
 
Unaenda kutafuta nini huko wakati yesu alishatukataza.

Hao ni gosper entrepreneurs.
 
Jamani Wakristo tuwaombee watumishi wa Mungu awaondolee hili pepo la tamaa ya fedha! Makanisa mengi haya ya Kipentekoste hamna hoja nyingine ya ibada ni fedha kwanza! Mahubiri yote ni kuanzisha sadaka ambazo hazijaandikwa hata kwenye biblia! Mara ukitaka Mungu akufungue kwenye jambo fulani njoo na mil1. wakti kuna mwenye tatizo km hilo na kipato cha mtu huyo ni elfu kumi, kwahiyo huyo mtu hafunguliwi! Mungu gani huyo mbaguzi mnayemtumikia ninyi????! Mbona mmeligeuza hekalu kuwa pango la wanyanganyi? Watu wameamua kuacha kuja makanisani kwa kukimbia sadaka kibao na michango ya lazima? Mafungu ya kumi na safaka za kawaida hazitoshi? Mnataka kuwa na magari ya kifahari sn na nyumba nzuri sn eti! Hiyo ndo kazibMungu aliyowaitia? Msihangaikie vitu vya duniani watafuteni kondoo kwanza walionunuliwa kwa damu ya thamani. Mkimpoteza hata mmoja kwa tamaa zenu mna deni kubwa kwa Mungu!: Tubuni mkarejea matendo mema ya awali ya Kristo!

Acha unafiki! Kuna aliyewahi kulazimishwa kutoa? Mbona kutoa ni hiari! Kama umeshindwa si uondoke!
Kwa taarifa yako sadaka watowayo watu kwa shetani ni kubwa mno! Hivi mzinzi anagharimika sh. ngapi kwa mwezi? Je mlevi inamgharimu sh. ngapi kwa mwezi? Washirikina wakifanya mazindiko yao yanawagharimu sh. ngapi?

Hata hivyo tunapotoa sadaka na matoleo mengine yote, tunamtolea Mungu siyo mtu! Wewe kama huwa unamtolea mtu pole sana! Tunamtolea Mungu si kwa kuwa ana uhitaji, Bali kwa kuwa tunampenda! Na tunatoa sehemu tu ya vile ambavyo yeye ametupa!
Kama wewe huwa hupokei mahitaji yako toka kwa Mungu pole sana!
Wenzako tunapokea kila kitu toka kwa Mungu ndiyo maana tunamtolea kwa furaha na hatupungukiwi!
Nakushauri uokoke kwanza ili ujue unachokifanya!
 
The Cerebrum, huo ni ukweli ambao upo na Mungu atuepushie mbali na watu waliogeuza huduma kuwa ujasiriamali. Tuwaombee kama ulivyosema.
 
Last edited by a moderator:
Acha unafiki! Kuna aliyewahi kulazimishwa kutoa? Mbona kutoa ni hiari! Kama umeshindwa si uondoke!
Kwa taarifa yako sadaka watowayo watu kwa shetani ni kubwa mno! Hivi mzinzi anagharimika sh. ngapi kwa mwezi? Je mlevi inamgharimu sh. ngapi kwa mwezi? Washirikina wakifanya mazindiko yao yanawagharimu sh. ngapi?

Hata hivyo tunapotoa sadaka na matoleo mengine yote, tunamtolea Mungu siyo mtu! Wewe kama huwa unamtolea mtu pole sana! Tunamtolea Mungu si kwa kuwa ana uhitaji, Bali kwa kuwa tunampenda! Na tunatoa sehemu tu ya vile ambavyo yeye ametupa!
Kama wewe huwa hupokei mahitaji yako toka kwa Mungu pole sana!
Wenzako tunapokea kila kitu toka kwa Mungu ndiyo maana tunamtolea kwa furaha na hatupungukiwi!
Nakushauri uokoke kwanza ili ujue unachokifanya!

Unapopindisha maandiko (kufundisha kinyume na maandiko) ili waumini watoe sadaka ni sawa na kulazimisha utoaji!

Ndugu naamini umeokoka but jibu swali hili:

Ni wapi imeandikwa kwenye biblia ili uombewe ni sharti utoe pesa kwanza? Eti kuna maombi ya mil 1, laki 5, nk. Imeandikwa mmepewa bure toeni bure! Mleta mada analaumu siku hizi kuna baadhi ya watu wameifanya injili kuwa biashara ya kuwapatia utajiri.
Kuna makanisa fulani yanajiita ya kiroho ambayo hufundisha zaidi kuhusu mafanikio ya kimwili (fedha, nyumba, magari, biashara, nk) kuliko kukemea dhambi ili waumini waishi maisha matakatifu. Wazinzi, matapeli, washerati, nk wanajulikana but hawafanywi kitu badala yake wamepewa uongozi makanisani. Kuna mstaafu mmoja kamwacha mke wake wa ndoa kisha kaoa mwingine but mpaka sasa ni mzee wa kanisa.

Suppose kipato changu ni sh. 100,000 kwa mwezi halafu nina tatizo ambalo gharama ya maombi ni sh mil 1 itakuwaje?

Siku hizi yapo makanisa mengi ambayo kweli ya Neno la Mungu haifundishwi! Mfano, kuna kanisa moja wanahubiri eti kama wewe ni masikini na uko kanisani kwao utakuwa bado hujaokoka. Pia wanahubiri kwamba masikini hawezi kuingia mbinguni.

Tunapomtolea Mungu haipaswi kurubuni watu kwa kupindisha maandiko. Mtoaji afundishwe kwa usahihi kweli ya Neno la Mungu kuhusu utoaji ndipo atoe kwa hiari na moyo wa kupenda wenye furaha kwa kadiri ya uwezo wake. Asishawishiwe, asirubuniwe au kulazimishwa kutoa hata kile asichokuwa nacho. Wengine huambiwa wakakope ili wamtolee Mungu!

Hayo ni makanisa feki na ni mlango wa kuzimu. Makanisa ambayo kweli ya Neno la Mungu haifundishwi sikai hata kidogo!
 
Tatizo lawama hutolewa za jumla as if makanisa yote ya kiroho yako hivyo!
Uwe wazi unazungumzia kanisa lipi? na mchungaji yupi? Yawezekana likawa si tatizo la kanisa Bali la mch. Mmoja, au tatizo likawa la kanisa lote kwa maana ya dhehebu.
Uzoefu wangu ni kuwa walalamikaji huwa na taarifa za kuambiwa ambapo yaweza kuwa zimetiwa chumvi! na wao wenyewe si washirika wa makanisa hayo wala hawajaokoka!
Kimsingi kama ni kweli mtu anaombwa atoe kama sharti la kuombewa huo sio ukristo wa kweli!
Japo dhana ya utoaji ni muhimu sana kwa watu wa Mungu. Ila mtu ambaye hajaokoka hawezi akaielewa dhana hii!
 
Inaonekana wewe ni mchungaji na unapenda sana mambo ya kimwili kama fedha kuliko ya kiroho kama upendo pamoja na utu, ...

Wachungaji feki wengi huwa wakali sana ukiulizia pesa. Na usisitiza kuwa unamtolea mungu na sio kwangu. Baadae wakiwa matajiri ndio kiburi kinazidi sana. Angalia wachungaji au wahubiri wengi walio jikusanyia zaidi huwa na viburi vya hali ya juu sana. Na sehemu kubwa wanapenda sifa na majigambo. Hudharau hata huduma za mahospital. Ni wapotoshaji.

Tumia ROHO MTAKATIFU WA BWANA utapata ukweli na msaada wa kulijua NENO LA BWANA kiundani.
 
Kweli kabisa watu wametimiza andiko la mtume paulo lisemalo watakua ni wenye kupenda pesa kuliko kumpenda Mungu
 
Ndugu ww ndo mtumishi Mungu kweli. Nina imani ujumbe umewafikia ndo maana unaona wanaanza kutweta! Sisi kazi yetu tayari!
 
Tatizo lawama hutolewa za jumla as if makanisa yote ya kiroho yako hivyo!
Uwe wazi unazungumzia kanisa lipi? na mchungaji yupi? Yawezekana likawa si tatizo la kanisa Bali la mch. Mmoja, au tatizo likawa la kanisa lote kwa maana ya dhehebu.
Uzoefu wangu ni kuwa walalamikaji huwa na taarifa za kuambiwa ambapo yaweza kuwa zimetiwa chumvi! na wao wenyewe si washirika wa makanisa hayo wala hawajaokoka!
Kimsingi kama ni kweli mtu anaombwa atoe kama sharti la kuombewa huo sio ukristo wa kweli!
Japo dhana ya utoaji ni muhimu sana kwa watu wa Mungu. Ila mtu ambaye hajaokoka hawezi akaielewa dhana hii!

Nilisema baadhi ya makanisa ya Kipentekoste esp.yale unakuta Askofu ndo huyo mwenye ministry ndo mchungaji na oanisa moua tu analoongoza yy hana kanisa jingine ja wala hana mpango wa kupanda kanisa. Tunayoeleza ni ukweli tulioshuhudiasjyo za mtaani.
 
Inaonekana wewe ni mchungaji na unapenda sana mambo ya kimwili kama fedha kuliko ya kiroho kama upendo pamoja na utu, ...

Wachungaji feki wengi huwa wakali sana ukiulizia pesa. Na usisitiza kuwa unamtolea mungu na sio kwangu. Baadae wakiwa matajiri ndio kiburi kinazidi sana. Angalia wachungaji au wahubiri wengi walio jikusanyia zaidi huwa na viburi vya hali ya juu sana. Na sehemu kubwa wanapenda sifa na majigambo. Hudharau hata huduma za mahospital. Ni wapotoshaji.

Tumia ROHO MTAKATIFU WA BWANA utapata ukweli na msaada wa kulijua NENO LA BWANA kiundani.

Unahitaji kuombewa ukaijue kweli ndo uwe huru. Unapokuta mada pata muda wa kuisoma uielewe ndo uchangie! Mbona unapaniki bure ndugu!
 
mwingira naye yupo ivo ivo?
mambo ya fueza ayo zamani kanisani sadaka ilikua ni moja tu ila sasa miaka hii mnatoa sadaka mpaka mara 3 kwa jumapili moja
hela zimevuka mipaka. alafu hayo hayo makanisa ata kutoa misada haitoi yana limbikiza mali tu aahaa dunia imebadilika sana.
 
Kwa kweli wanaboa sana, siku hzi hata kanisa langu KKKT limekua na tabia za ajabu ajabu hadi linaboa.
 
Back
Top Bottom