Recent content by The Butcher

  1. The Butcher

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari kabla haujanunua hisa za makampuni haya

    Vipi kampuni ya NICOL.?
  2. The Butcher

    JamiiForums Tanzania X ray machine digital portable used inahitajika

    Mkuu karibu PM tuyajenge
  3. The Butcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Kila siku najiambia ikitokea bimeoa basi lengo kuu litakua ni kujenga familia. Na kumuomba mungu watoto wawe ni Damu yabgu tu. Kuoa ili uwe unapata ngono kila siku ndio mambo yake haya.[emoji1787][emoji1787][emoji23]
  4. The Butcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kisaikolojia unahitajika

    Ndio maana ni bora uwe single au kuwa nao 3 plus ns unacheza kwa akili. Mmoja ni risky sana. Mimi mwanamke akianza mawenge huwa nafanya mirroring.. unamuonesha vile anafanya. Maana huwa hawafikirii. Wanajali hisia zao saaana kuliko sacrifice unazotoa. And hamna kitu kinanuumiza mwanamke km...
  5. The Butcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali la wanawake wanatoa nini kwenye mahusiano zaidi ya ngono ni la kipuuzi

    Nilitegemea utataja vitu mnaoffer ila umeishia kutaja vitu gani mnaexpect kuwa offered
  6. The Butcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la kuomba unyumba na kunyimwa linaumiza sana

    Vitu kama hivi ndio mtajua kwann kuna ukewenza katika uislam... huwex ukanyimwa na wote. Akikataa au sababu nyiingi unaenda kwa mwingine peace kabisa. Nmejifunza hata siku moja mwanamke hatokaa amiendeshe kwa kutumia unyumba.
  7. The Butcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeutua mzigo mzito jana usiku

    "Kwasababu wee ni mwanaume." Na utaendekea kuteswa kila siku kisa hio kauli.. hao ulitakiwa uwakane wajilipie hapo
  8. The Butcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Udomozege jau sana
  9. The Butcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananiambia nijipange, kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

    Mzee bado unakaa na muuaji? Aisee mie mtu atoe mimba ya mwanangu bila idhini yangu nae anaondoka tu on the spot. Silei wauaji mm
  10. The Butcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananiambia nijipange, kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

    Unamgaslight jamaaa tu.. We huwa unakubaliana na kila unachoambiwa? Kwanza mm naamini Mahari kama hizo ni human trafficking. Hata watumwa walikua hawauzwi bei hio. Unalipa mahari yote hiyo alafu mtu akiingia ndani achague nn cha kufanya mara anune mara nn. Uanaume sio kuvumilia ujinga na...
  11. The Butcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama msichana hakutaki kabisa na wewe unampenda kupita kiasi unafanyaje

    Haumpendi.... wee una upwiru tu.
  12. The Butcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu, mke wangu nimemchoka

    Una uhakika yupo kwa baba yake bro? Yaani mkeo umeoa Na anaenda kwa baba yake? Kufanya nn wakat kaolewa? Mwanamke akijua we ni Boya anakutumia kwel kweli.. ebu muonyeshe vitendo huyo kuwa unaweza ukawa imara asipokuepo. Fanya utafiti kama kweli anaenda kwa baba. Halagu test reaction yake Mara...
  13. The Butcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bro hafai kabisa. Ukweni wamechoka sana. Hawana hamu

    We jamaa kila kitu unataka kuprove watu unakiweza?[emoji23][emoji23] Mie huwa napuuzia mpaka wanashangaa
  14. The Butcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Hakuna... kamwe usigombane na mwanaume mwenzio kisa mwanamke wako. Mwanamke akikuheshimu haguswi sehemu. Mwanamke asiedada yako ukimuita getto tena anajua umeshawahi kumtaka anajua kabisa anakuja kuliwa. Wanawake sio watoto wala wajinga bro.. Hawajui wanachotaka ila wanajua wanachofanya.
  15. The Butcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchukia mke wangu

    Wanawale hufanya viti kwa kujaribu mama unaruhusu kufanyiwa.. wakiona unaruhusu wanendelea na kufanya mengine mapya. Hapo shida ni wewe bro.Uliruhusu yote hayo. Jamii imemuaminisha kwamba mwanaume bila sex haishi vizuri a ndio maana alianza kuotumia kukucontrol. Mie nikiona tu anaanza kuleta...
Back
Top Bottom