Recent content by The Businessman

  1. The Businessman

    Kwa hili la Zacharia Hanspope ni funzo kwetu sote!

    Huyu jamaa kwa niliyoyasikia hapa town ni kweli ana hali mbaya ya kiuchumi na hii kutokana na kuishi kama digidigi sahizi shauri ya Jiwe. Hili Jengo la hotel mtu kwa nje anaweza kusema limeisha lakini kwa ndani inahitaji hata mwaka kulimalizia.
  2. The Businessman

    Vijana wenzangu hizi dawa zinatibu nini?

    Sasa kama ulikuwa unajua kuwa ni dawa za ARVs umeileta ili tufanyaje?
  3. The Businessman

    Vijana wenzangu hizi dawa zinatibu nini?

    ARVs haiwezi ikaandikwa 1×1 Usiku mmoja. Ila anayekuchukulia serious wewe ni mpumbavu tu.
  4. The Businessman

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu Uzi unatoa majawabu au tunacomment tu? maana naona wengi tuombao nyimbo hatuzioni zikiwekwa hapa.
  5. The Businessman

    Ila Wabongo tunajua kusahau, tumeshamsahau hadi Ebitoke

    Zaidi ya Instagram hakuna sehemu nyingine anakojulikana. Umaarufu wake aliujengea huko na utapotelea huko.
  6. The Businessman

    Naombeni nyimbo za 'New life Band-Arusha'

    Wataziweka hapa tuzipakue sote.
  7. The Businessman

    Naombeni nyimbo za 'New life Band-Arusha'

    Nazitafuta sana hizi nyimbo za hii band. Mwenye nazo naomba, nimejaribu kuzigoogle hazipo. You tube zipo walizofanya 'live' jukwaani mimi nataka Original zao. "Mji ule unameremeta umepambwa maua"
  8. The Businessman

    Kwanini wazungumza Kiswahili ni Masikini?

    Ulichokiandika hakihusiani kabisa na Uzungumzaji wa Lugha ya Kiswahili. Hizo ni tabia na mienendo ya jamii husika.
  9. The Businessman

    Raba mbaya kama hii eti $ 98

    Mkuu RGforever , Ondoa kusema "masikini ndio tulivyo" Mimi naongelea ubaya wa kiatu kilivyo na bei ilivyo angalau kwa bei hiyo tungeona hata kiatu cha maana. Au macho yangu mabovu?
  10. The Businessman

    Raba mbaya kama hii eti $ 98

    Hii Raba ukiniletea hata bure sipokei inauzwa $98 yaani unapata Safari boot mpya kama nne. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. The Businessman

    Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    Kuwa Muamini wa Katoliki sio lelemama huku hakuna njia za mkato zinafuatwa kanuni na Taratibu za Kanisa. We sepa tu hujapunguza kitu.
  12. The Businessman

    Mrejesho baada ya kutumia subconscious mind kwa tape recorder kuacha tabia mbovu

    Kwa hiyo na wanaopiga "punyeto" nao ili waache inabidi wategeshe Camera mbele then baadaye waje wajiangalie?
  13. The Businessman

    Adui wa upinzani Tanzania ni wapinzani wenyewe

    Kukosoa ndio kazi ya Upinzani ulitaka wafanyaje Dada?
  14. The Businessman

    Kwa Wagombea hawa maana yake CHADEMA imekubali CCM ipite bila kupingwa

    Nyie ndio "Paper Tigers" aliowasema Tundu Lissu. Mnajiita "Bavicha Asilia".
Back
Top Bottom