Recent content by The Blaze

  1. T

    JamiiForums Tanzania Bar na night clubs Arusha mwisho kuwa saa 6 usiku ni uhujumu uchumi

    They are killing the city vibe mkuu ..
  2. T

    JamiiForums Tanzania Bar na night clubs Arusha mwisho kuwa saa 6 usiku ni uhujumu uchumi

    hii itakuwa solution yenye kuleta damage zaidi ... hakunaga mkakati wa hivi .. ukahaba uko tu tangu enzi za biblia na kurani
  3. T

    JamiiForums Tanzania Bar na night clubs Arusha mwisho kuwa saa 6 usiku ni uhujumu uchumi

    Hakuna sababu ya msingi. Pengine strategy ya kutengeneza mazingira ya rushwa .. si unajua tena December imewadia
  4. T

    JamiiForums Tanzania Bar na night clubs Arusha mwisho kuwa saa 6 usiku ni uhujumu uchumi

    Yani upuuzi wa hali ya juu, back to zama za giza
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bar na night clubs Arusha mwisho kuwa saa 6 usiku ni uhujumu uchumi

    Nionavyo mimi kwa jiji la Arusha mamlaka kulazimisha shughuli za bar na nights clubs mziki mwisho saa 6 usiku ni aina nyingine ya kuzorotesha uchumi na kudidimiza social life ya wakazi wa Arusha. Tourist city kama Arusha haipaswi kuwa na sheria za hovyo kama hizi. Polisi wanao reinforce katazo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mkekabet?

    0782638777
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mkekabet?

    Wezi hatari, wamepiga wananchi wengi pesa zao, now wamerudi pesa kwenye akaunti za watu hakuna
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mkekabet?

    Pesa za wateja kwenye akaunti ya mkekabet hazipo. Huu ni wizi. Nani anawalinda pale Gaming Board? Haiwezekani udhulumu wananchi halafu kampuni iendelee kufanya kazi. Inabidi serikali kuingilia kati. Wamefunga operation ghafla almost 2 months now ligi zimeanza wamerudi na pesa za watu wamekula...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mkekabet?

    Yani hawaonekani popote dadeki, na kuna wakamaria pesa zao ndani! Hivi hawa gaming board of Tz nao ni miyeyusho hawana usaidizi
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doggy style imeharibu vijana wengi

    hii style unaangalia chanel O bila chenga
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wala watu wa Tsavo

    Kuna idea nyingine kwamba hawa simba walikuwa wa mchongo .. Yaani walikuwa wa nguvu za giza kutoka kwa wazee wetu ambao walikuwa wanapinga ujenzi wa reli ile , so sokomoko zima lilikuwa ni LA kufifisha juhudi za ujenzi wa reli not to advance into hinterlands of Kenya
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mkekabet?

    Wameanua virago Tanzania? Mwenye kufahamu tafadhali. Hivi, hatma ya wateja wenye hela zao mwenye akaunti za michezo ya kubahatisha huwa ni ipi?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    naomba kuuliza, mwenye kufahamu nini kimewasibu MKEKABET maana web haipatikani, hela zetu zimo ndani .. au ndo washakianua tayari ? Yaani hawapatikani kwa namna yoyote ile
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Ila siku zote wanasema politics ni dirty game, inawezekana katangulizwa kwa baiskeli ya miti haiwezi toka kigamboni to Dodoma .. The means will justify the end!
Back
Top Bottom