Kwahiyo we unazani kuna picha mpya umepost? Vipicha vyote ni vile vile vya make up ambavyo hamuwezi kutuma mpk mvipake shedo, picha zote ulizotuma wenzio siku hz hawapost mana chini ni uozo mtupu.
Kuna pastor mmoja anaitwa Francis Ndacha, jamaa namkubali sn ni mkenya pia, amenijenga sn kiimani kuliko mapasta wengi wa Tanzania, jamaa namfuatilia sana, yuko vzr na mm ni mfuasi wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.