Recent content by thabitshebe

  1. thabitshebe

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Ndio chief mfano hii drama inayooneshwa TV 1 inaitwa corazon indomable (wild at heart) ipo kwa kiingereza ila ukiingia online unaikuta ipo episode zote lkn inakuwa ipo katika spanish, na nyingine nikaikuta imetranslated in russian... The problem is to find in english ndio mtihani mkuu
  2. thabitshebe

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Wakuu hebu nisaidieni ujuzi wa links za kudownload mexican drama ambazo zipo translated kwa english... Mfano corazon indomable na nyinginezo
  3. thabitshebe

    Misosi ya Forodhani Zanzibar.

    Mkuu nakuunga mkono 100% kwa watu ambao hawajui seafood ndio wanalishwa sana viporo pale forodhani...
  4. thabitshebe

    Korosho zinauzwa

    0624171210
  5. thabitshebe

    Korosho zinauzwa

    Habari zenu wana JF... Ninauza korosho kilo moja kwa sh 3000 nina kilo 200. Nipo Dar es salaam, korosho zipo wilaya ya mkuranga na free delivery kwa dar es salaam. Kwa mteja aliye serious ani DM
  6. thabitshebe

    Kwa waliokuwa wanakula Pizza Mgahawa wa Uchumi Supermarket

    Baada ya traffic lights za kamata k/koo njia ya kwenda mbagala kulia kuna hotel ya wasomali inaitwa city garden
  7. thabitshebe

    Kwa waliokuwa wanakula Pizza Mgahawa wa Uchumi Supermarket

    Pale CITY GARDEN siku ya jumatatu ma alhamisi kuna offer... Pizza 2 kwa sh 12000/=
  8. thabitshebe

    Niuzie gari.. nina milioni 3

    Matatizo ndugu mti mkavu... Pesa imekuwa adimu kaka hivyo ni bora nipate hasara lkn unaokoa maisha ya mtu
  9. thabitshebe

    Niuzie gari.. nina milioni 3

    Kama utahitaji utaniambia uje na fundi wako muiangalie...
  10. thabitshebe

    Niuzie gari.. nina milioni 3

    Yap haina deni
  11. thabitshebe

    Niuzie gari.. nina milioni 3

    Iko vzr ni family problem tu...
  12. thabitshebe

    Niuzie gari.. nina milioni 3

    Crown hiyo hapo inahitajika milioni 3 kwasababu ya matatizo tu ya kifamilia
  13. thabitshebe

    Money & paper

    Paper And Money Were Talking To Each Other. Paper To Money: ”You Are Just A Piece Of Paper.” Money Smiled: ”Of Course I Am Just A Piece Of Paper But-I Havn’t Seen A Dustbin In My Life.” Thats Attitude
Back
Top Bottom