Niuzie gari.. nina milioni 3

Niuzie gari.. nina milioni 3

nazidi kupata nguvu baada ya kuona hela yetu imepanda thamani leo hii mtu unanunua crown kwa mil 3??!!
 
Natupia hapa kama kule hujaona. Hiyo kitu ni 4wd. ROHO YA PAKA
Engine yake bomba haijachezewa, huyo fundi wako atakuhakikishia hiyo. Mie nina ingine naikamilisha milango 5 (ipo hapo ndani ya gate) ndio sababu ya kuuza hiyo. Kuhusu road license tutaangalia namna ya kuweka sawa
Duhhh,aisee,hahahah
Yaani ungeliandika tangazo vizuri ingekaa sawa,ila mwisho ndio umeharibu kabisaaa.
Nimependa mistari ya Rangi nyekundu,maana najua leo ni Simba day
 
Hiyo Escudo 3door kama ina engine ya 16GA inafaa sana,gari ngumu na inakubali matengenezo,lakini kama ni ya "nosel"moja mtihani sana,kwanza hata gearbox zake hupati.
Engine ni 16G, sio ya nozel moja. Gear box zinaingiliana sema ubora wake. Hapo kwenye hiyo ipo manual.
 
Duhhh,aisee,hahahah
Yaani ungeliandika tangazo vizuri ingekaa sawa,ila mwisho ndio umeharibu kabisaaa.
Nimependa mistari ya Rangi nyekundu,maana najua leo ni Simba day
Najiamini kwa ninachoongea, ndio mana nikamwambia mkuu aje na fundi wake. Hapo ilipo si unaona haijakaa mkao wa kulala. Niliweka angalizo kuwa linahitaji rangi na road licence.
 
Pia mleta mada kama huna haraka unaweza kusubiri kama mwaka hivi. Magu akiendelea kubana hivi hivi, gari waweza kupata hata kwa m1.5
Tetesi: kuna mafisadi uchwara huko maofisini wameoza gari kwa bei za kutupa ili kupunguza idadi ya magari wanayomiliki wasije PATA KIGUGUMIZ waliyapataje!
 
labda uanze kununua matairi na sit covers ndugu
 
Gari nzima kwa milllion 1 in which currency tehe tehe tehe tehe
Kwa shilingi ya ki Tanzania.
Kwa mfano.
Gari haijalipiwa Motor Vehicle Licence toka Mwaka 2005,
Unadhani atakaeliuza atauza kwa sh.ngapi?
 
Back
Top Bottom