Niuzie gari.. nina milioni 3

Niuzie gari.. nina milioni 3

Natupia hapa kama kule hujaona. Hiyo kitu ni 4wd. ROHO YA PAKA
Engine yake bomba haijachezewa, huyo fundi wako atakuhakikishia hiyo. Mie nina ingine naikamilisha milango 5 (ipo hapo ndani ya gate) ndio sababu ya kuuza hiyo. Kuhusu road license tutaangalia namna ya kuweka sawa
 
Attachments

  • IMG_20160930_144500.jpg
    IMG_20160930_144500.jpg
    224.7 KB · Views: 56
  • IMG_20160930_144435.jpg
    IMG_20160930_144435.jpg
    184.2 KB · Views: 54
Natupia hapa kama kule hujaona. Hiyo kitu ni 4wd. ROHO YA PAKA
Engine yake bomba haijachezewa, huyo fundi wako atakuhakikishia hiyo. Mie nina ingine naikamilisha milango 5 (ipo hapo ndani ya gate) ndio sababu ya kuuza hiyo. Kuhusu road license tutaangalia namna ya kuweka sawa
Lol
 
Hiyo Escudo 3door kama ina engine ya 16GA inafaa sana,gari ngumu na inakubali matengenezo,lakini kama ni ya "nosel"moja mtihani sana,kwanza hata gearbox zake hupati.
 
Njoo uchukue volkswagen comb kama ile aliokuwa amataumia yule padre pale beirut kwa ile movie ya missing in action ya churcknorris ila haina usukani
 
Njoo uchukue volkswagen comb kama ile aliokuwa amataumia yule padre pale beirut kwa ile movie ya missing in action ya churcknorris ila haina usukani
Ahaha watu mna vituko. Sasa kama haina usukani Ataendeshaje?
 
Mtui Sema aina ya gari unayoitaka kwa kiasi hicho cha fedha uluchonacho......
 
Back
Top Bottom