Kuelekea kuadhimisha siku ya Kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Wananchi wa kijiji cha Kizimkazi wameungana pamoja katika Dua maalum ya Kumuombea kheri ya kuzaliwa Dkt. Samia Suluhu Hassani.
Dua hiyo imefanyika katika Uwanja wa kizimkazi Dimbani huku...
Chama Cha Mapinduzi kimewaomba wananchi wa Zanzibar kumsikiliza, kumtafakari,kumtazama hatimaye kumpuuza Mwenyekiti wa AAFP Said Soud Said aliyedai zanzibar haina maendeleo yoyote kwa miaka mitano iliopita .
Pia CCM kimeiomba Ofisi ya Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Zanzibar...
Na Thabit Madai, Zanzibar
Zanzibar ya sasa inashuhudia mabadiliko makubwa katika ushiriki wa wanawake katika uongozi, ikilinganishwa na enzi za zamani. Kwa mara ya kwanza tangu mapinduzi ya 1964, wanawake wanashikilia nafasi muhimu, ikiwa ni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi na Naibu Spika wa...
CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupitia Kituo chake cha Kikanda cha Umahiri katika Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafiri na Usalama Barabarani Zanzibar (ZARTSA) kimetoa mafunzo ya usalama barabarani kwa madereva na makondakta wa gari za abiria wa Mkoa wa Kaskazini...
Habari za Usiku Wana Jamiiforums leo nmekutana na huu Uzi nikaamua niwasogeze wadau ✍👇
Sababu tano za kwanini huenda EX wako anakusimbua. (FOR MEN)
1. Sasa yeye ni mama wa mtoto.
2. Ametumiwa na wanaume kadhaa, na hakuna hata mmoja aliyemjali.
3. Kizazi chake kimeharibiwa, anatafuta mwanaume...
Tulipoandika tulitukanwa sanaaaa wengine wakaenda mbali mpaka kuwatukana wazazi wetu kisa habari za Moalin
Wengine wakatukataza kuandika habari za Yanga et tunaipa kashfa...🤣
Kiko waaaapi?
Kwanini Moalin sio Kocha Msaidizi?
Yanga walimwambia Sead aje yeye tu msaidizi yupo,Sead Ramovic...
...Maisha ya Makocha wa Football kwenye Timu huwa hayategemei mafanikio uliyowapa huko nyuma bali mwenendo wa timu kwa wakati huo.
Maisha ya Makocha wa Klabu za Simba na Yanga huwa hayategemei rekodi uliyoiweka kwenye klabu bali kelele za Mashabiki na maamuzi ya viongozi kwa wakati huo.
Na hii...
Kwanini kuifunga Simba Tabora wapewe Milioni 50 wakati wameifunga Yanga wakapewa Milioni 20?
- Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ameweka wazi kwamba utaratibu wake kwa Timu ya Tabora United huwa anawapa motisha ya Tsh Milioni 10 kila mchezo wanaoshinda..ila walipoifunga Yanga aliongeza mara...
Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie.
Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini, na ni kawaida yetu kila siku kutoka pamoja kwenda kazini, tumekua ni watu wa kutaniana wakati wa...
MAMLAKA ya Kudhubiti na Kupambana na dawa za kulevya (ZDCE), imetangaza kutaifisha mali za watuhumiwa watatu wa dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 976 na kuwa na mali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Hatua imefikiwa baada ya Mamlaka hiyo kuendelea na operation...
-NJE YA BOX
Yanga wamehama uwanja wa Azam Complex, hii ni baada ya kipigo mara mbili mfululizo kutoka kwa Azam Fc na Tabora United.
Yanga hawajaweka wazi kwanini wamekimbia Chamazi ila kuna maswali tunaweza kujiuliza:-
A) Sababu za kiufundi ?
B) Sababu za nje ya Uwanja au
C) Sababu za...
-Simba vs Kmc
Moja kati ya Timu iliyochangia Simba kukosa ubingwa misimu ya hivi karibuni ni Kmc...Simba amekuwa akipata changamoto sana anapokutana na Kmc hasa mzunguko wa kwanza.
Msimu uliopita Simba ililazimika kutoka nyuma na kusawazisha dakika za jioni baada ya kuruhusu mabao mawili kwa...
Yanga sio timu kubwa bali ni timu kongwe, Sisi na Yanga hatutofautiani kwakuwa wao wanalala kwenye hotel ya nyota 5 na sisi tunalala hotel ya Nyota 5, Sisi tuna Bus kubwa kuliko wao kwahiyo sisi hatuwatazami Yanga kama timu inayotuzidi sana.
Yanga ni wabinafsi sana na wanataka kushinda kila...
...Kuna siku mkongwe @edokumwembe alisema Yanga wako karibu zaidi kupoteza mchezo au kutoa sare kuliko kushinda watu hawakumuelewa...
Kuna Wachambuzi pale Wasafi Fm walitanabaisha ubora wa Yanga viongozi wakapiga simu studio na kuanza kukosoa...
Iko hivi...
Kabla ya Yanga kupoteza walikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.