Recent content by tgp

  1. tgp

    Naombeni ushauri hii ni ngumu.

    Pole sana mkuu. Ila chamsingi nitakacho kushaur mm ni kuacha kufuata nn moyo wako unapenda kwa haraka. Fikiria tu mbali kwamba hapo haupo ndani ya ndoa...je ukiingia c mpaka chumbani kwako utafanyiwa ujinga.
  2. tgp

    Kubadili window kwenye pc

    Wakuu nashindwa kubadili window kwenye Laptop yng. Naomben mnipe tips za kuchange ii kitu.
  3. tgp

    Umakini sasa wahitajika zaidi kwenye ngono... Zaidi ya UKIMWI kuna smartphones...

    2msubir tu yesu arudi mana ndo mwisho wenyewe huo wa dunia
  4. tgp

    Ni sahihi wanandoa/wapenzi kuvaliana nguo za ndani

    duh, hata haviendan kabisa. ndio maana zikaundwa tofauti kutoka na jinsia
  5. tgp

    Kifo cha Sokoine: Watoto wake wataka mwili uchunguzwe kubaini kama alikufa kwa ajali au la!

    kupoteza muda na pesa bila xababu apo. je kama ikigundulika na wahusika hawapo duniani, kesi itakula kwa nani?
  6. tgp

    Waislamu muleba wazuiwa kufanya mihadhara

    duh v2 vngne bhana
Back
Top Bottom