Naombeni ushauri hii ni ngumu.

Naombeni ushauri hii ni ngumu.

Jua ndo limezama hivo,we subir kukuche!
 
Pole sana mkuu. Ila chamsingi nitakacho kushaur mm ni kuacha kufuata nn moyo wako unapenda kwa haraka. Fikiria tu mbali kwamba hapo haupo ndani ya ndoa...je ukiingia c mpaka chumbani kwako utafanyiwa ujinga.
 
ukiona umependwa ujue kuna mwenzako kapigwa chini. Kwan we wakati unampenda alikuwa mtoto au mdada mzma tayari? Ujue kuna mwenzako alipigwa chini ukapendwa wewe. Mzunguko unaendelea nawe tafta mwngne
 
Ni hivi mimi ni kijana mwenye miaka 28, nilipata mchumba wangu ambaye mwanzoni tulikuwa tunaishi vizuri baadhi ya ndugu zangu wanamfahamu. Lakini yapata karibu miezi minne hivi mahusiano yetu yamepungua kuna rafiki yangu huyu mwanamke alijipeleka mwenyewe isitoshe kuna jamaa mwingine anatoka naye nimefuatilia nikagundua ni kweli kwa kudhibitisha kwamba wana mahusiano na huyo jamaa . Sasa imefikia hata ukimwita hataki kuja lingine aliwahi kuniambia mimi simmiliki na cjamtolea mahari nimefikiria sana hilo suala lakini naombeni mnipe ushauri

Kwan mwanamke yupo peke ake??
 
I hate wanaume wa tabia hizi una 28 yrs hata maamuzi kwa suala dogo kama yamekushinda kufanya jaman

Unategemea uitwe baba kiongozi
Ramani hujui picha nalo hujui...njano umeshawashiwa

Achana nae mkuu Fanya mambo mengine
Mapenzi hayalazimishwi

Ilo nalo neno
 
wee ebu wacha ubwege bwana papuchi zimejaa kibao mtaani unajimegea bure tuu. kama ulishamgegeda inatosha
 
hamna mtu anaekuambia rudi kwake.plz tafuta njia.au nitumie namba yake nikuulizie kama bdo anakuhitaj
 
Hiyo eti ni ya part ipi!??


As a man, personally, hata nikifika 40 sitakuwa worried over a woman..let alone one to marry!!!

Hahahaa haaaa ht ukifika 40 km yule wa 'im finished'

Hyo 'eti eeh' .....ya hapo kwenye 'mapenzi hayana ushauri'

Thus y I lov u
 
Back
Top Bottom