Waislamu muleba wazuiwa kufanya mihadhara

Waislamu muleba wazuiwa kufanya mihadhara

Status
Not open for further replies.
ﻭَﻗَﻮْﻟِﻬِﻢْ ﺇِﻧَّﺎ ﻗَﺘَﻠْﻨَﺎ ﺍﻟْﻤَﺴِﻴﺢَ ﻋِﻴﺴَﻰ ﺍﺑْﻦَ ﻣَﺮْﻳَﻢَ ﺭَﺳُﻮﻝَ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻭَﻣَﺎ ﻗَﺘَﻠُﻮﻩُ ﻭَﻣَﺎ ﺻَﻠَﺒُﻮﻩُ ﻭَﻟَٰﻜِﻦْ ﺷُﺒِّﻪَ ﻟَﻬُﻢْ ۚ ﻭَﺇِﻥَّ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺍﺧْﺘَﻠَﻔُﻮﺍ ﻓِﻴﻪِ ﻟَﻔِﻲ ﺷَﻚٍّ ﻣِﻨْﻪُ ۚ ﻣَﺎ ﻟَﻬُﻢْ ﺑِﻪِ ﻣِﻦْ ﻋِﻠْﻢٍ ﺇِﻻَّ ﺍﺗِّﺒَﺎﻉَ ﺍﻟﻆَّﻦِّ ۚ ﻭَﻣَﺎ ﻗَﺘَﻠُﻮﻩُ ﻳَﻘِﻴﻨًﺎ

Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.
 
KWANINI MUHAMMAD HAKUPIGWA BAKORA MIA KWA KOSA LA UZINIFU?
KUMBE MUHAMMAD NI ALLAH…..


Katika aya hapa chini tutasoma kuwa adhabu ya mzinifu katika Uislam ni kupigwa bakora mia. Hebu soma aya kwanza:

QURAN 24:2, SURAT, AN-NOOR
Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanaume, mtandikeni kila mmoja wao bakora mia. Wala isikushikeni huruma kwaajili yao katika huruma ya Mwenyezi Mungu. Ikiwa ninyi mnamwamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho. Na lishuhudie adhabu yao kundi la wauminh. ( mwisho wa kunukuu)

Sasa hebu endelea kusoma tabia ya Muhammad mtume wa allah hapa chini utagundua kuwa, kumbe Nabii wa Allah alikuwa mzinifu:

Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)


Muhammad mtume wa Allah kafumaniwa ugoni, lakini hatusomi kuwa alipigwa bakora mia yeye na kimada wake. Je, Muhammad yeye yupo juu ya sheria ya uzinifu?

Hakika wamekwisha pigwa muhuri wa Jehannam wale wote wanao zini kama Muhammad.

Ni PM namba yako nikutafute one on one.

Usiku/ mchana mwema.
 
Tuanze na hili la maelfu ya watoto waliofanyiwa ushenzi na viongozi wa kanisa. Kwanini Baba yenu mtakatifu anashindwa kutoa ushirikiano kwa UNITED NATIONS ili wahusika washughulikiwe.

Hii ni current story sio hearsay. Munguwa kweli hawezi kutoa maagizo ya kumsupport muovu!

Au wewe unasemaje kama viongozi wenu watakatifu wanaowaoongoza wana najisi watoto wadogo, unaona sawa?
KUMBE ADAM ALIKUWA SHEMEJI YA ALLAH. MAKUBWA HAYA

Quran 25:54. Naye ndiye aliye muumba mwanaadamu kutokana na maji, akamjaalia kuwa na nasaba na USHEMEJI NA Mola wako Mlezi.....

JAMANI KUMBE ADAM ANA USHEMEJI NA ALLAH
 
Kweli ukiwa kafir na akili inapungua sasa kusema yesu siyo mungu tatizo nn? Si ndo ukweli wenywe mnatakaje sasa kweli wapagani wamewapotosha
 
Ni PM namba yako nikutafute one on one.

Usiku/ mchana mwema.
Ndugu yako Kafumaniwa huku::::::::::::::::::::::

HII HAIKUBALIKI,MTUME KUFUMANIWA?
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)

ALIKUWA MBORA WA VIUMBE KWA LIPI?
 
kwa mujibu wa kijarida cha kiarabu maarufu kama quran marehemu muhamad alikuwa anapaka wanja na alikuwa na aibu kuliko mwali anaeolewa..SURAT YASIN...
mwanaume kuwa na aibu kiasi hicho na kupanga wanja ni dalili za upunga

Haujamjibu swali la msingi kwani na wewe ni mpakwa mafuta?
 
Kweli ukiwa kafir na akili inapungua sasa kusema yesu siyo mungu tatizo nn? Si ndo ukweli wenywe mnatakaje sasa kweli wapagani wamewapotosha
Yesu ni Mungu Kutokana na Koran (Sehemu ya Kwanza)

Waumini wa dini ya Kiislam katika Mihadhara mbalimbali ya kidini kupitia wahadhiri wao wa Dini wamekuwa wakipinga kuwa Yesu Kristo si Mungu kwa madai kuwa, Mungu hawezi kuzaliwa.

Ndugu msomaji, nakusihi ufuatilie somo hili kwa makini ili ujue ukweli kuhusu Umungu wa Yesu Kristo katika Koran:

Je Yesu anazo sifa za kipekee za Mungu kutokana na Quran? Hebu tuanze utafiti wetu kwa kusoma Quran na tujionee wenyewe kama kweli Yesu ni Mungu au la.

Adhama ya Kwanza kutokana na Quran: Mungu ni Mfalme:

Koran inasema kuwa, sifa Moja ya Mungu ni "Mfalme". Je, Yesu anayo hii sifa ya "Mfalme"? Haya tusome Quran kwanza.

Quran 59: 23
Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana Mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu, Anaye fanya analo litaka, Mkubwa, Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo.

Sasa tuangalie kama kweli Yesu anayo hii sifa ya Mfalme ambayo ni adhama ya Mungu pekee kutokana na Koran.

Biblia takatifi inasema yafuatayo kuhusu Yesu Kristo:
Ufunuo 17:14
Hawa watafanya vita na Mwana Kondoo na Mwana Kondoo atawashinda, kwamaana yeye ni Bwana wa Bwana na Mfalme wa Wafalme.

Katika aya hii tunasoma kuwa Yesu anaitwa "Mfalme wa Wafalme" ambayo ni adhama ya Mwenyezi Mungu kama ilivyo shaidiwa na Koran Surah ya 59 na aya 23. Hivyo basi , Allah na Koran wamekiri kuwa Yesu ni Mungu kwasababu Biblia imetuthibitishia kuwa Yesu ni Mfalme wa Wafalme katika Ufunuo 17 na aya 14.

Tuendelee na ushaidi mwingine kutoka Koran ambao unatuhakikishia kuwa Yesu ni Mungu.

Adhama ya Pili kutokana na Quran: Mungu ni Mtakatifu:

Je, Yesu anayo hii sifa ya "Mtakatifu"? Tusome Quran kwanza:

Quran 59: 23 Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana Mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu, Anaye fanya analo litaka, Mkubwa, Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo.

Katika Quran tumesoma kuwa, moja ya sifa za Mungu ni "Mtakatifu", Je sifa hii ya utakatifu Yesu anayo?

Nenda kwenye hihiyo Kuran 19:19 Malaika akasema hakika mimi ni mjumbe ili nikupe Mwana Mtakatifu -Isa Bin Maryam.

Koran hiyo hiyo inatuhakikishia na kutujibu kuwa Yesu ambaye anajulikana kwa jina la Isa Bin Maryam katika Quran ni Mwana Mtakatifu. Hivyobasi, hii adhama ya Utakatifu ambayo ni ya Mungu pekee, tunasoma katika Quran iliyoteremshwa an Allah kuwa Yesu ameinyakua. Yesu anaitwa Mwana Mtakatifu.

Adhama ya Tatu kutokana na Quran: Bwana ni Mwenyezi Mungu

Hebu tufungue Quran na tusome kuhusu Bwana:

Quran 3:39 Alipo kuwa kasimama chumbani akisali, Malaika kamnadia: Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria Yahya, ataye kuwa mwenye kusadikisha neno litokalo kwa Mwenyezi Mungu, na ni Bwana na mt'awa na Nabii kwa watu wema naye ni Nabii Isa.

Quran 39: 29
Mwenyezi Mungu amepiga mfano wa mtu mwenye mabwana washirika wanao gombana, na wa mtu mwengine aliye khusika na Bwana Mmoja tu. Je! Wako sawa katika hali zao? Alhamdulillahi, Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu! Lakini wengi wao hawajui.

Quran 39:29 inasema kuwa Mwenyezi Mungu ni Bwana na hiyo ni sifa njema kwa Mwenyezi Mungu. Zaidi ya hapo, Koran hiyo hiyo (Quran 3:39) inasema kuwa Isa Bin Maryam ni Neno litokalo kwa Mwenyezi Mungu na ni Bwana. Koran imejibu kuwa, sifa ya Bwana ambayo ni ya Mungu pekee ni ya Yesu. Sasa tusome na Biblia kwa ushaidi zaidi kuhusu Yesu ni Bwana.

Ufunuo 17:14
Hawa watafanya vita na Mwana Kondoo na Mwana Kondoo atawashinda, kwamaana yeye ni Bwana wa MaBwana na Mfalme wa Wafalme.

Katika Ufunuo tunasoma kuwa Mwana Kondoo ambaye ni Yesu Kristo anaitwa Bwana wa Mabwana. Hivyobasi, hii adhama ya "Bwana" ambayo ni ya Mungu pekee tunasoma katika Quran iliyoteremshwa an Allah kuwa Yesu ni Bwana na ameinyakua, vilevile, katika Biblia Takatifu tumesoma kuwa Yesu anaitwa Bwana, ambayo ni Sifa ya Mungu Pekee kutokana na Quran.

Leo nimejibu hoja ya Waislam kuwa, Je, Yesu ni Mungu? Koran pamoja na Allah wanasema kuwa Yesu ni Mungu kwa kuwa Yesu anazo adhama zote na/au sifa zote za Mungu.

Katika huduma yake,

Max Shimba

Copyright © Max Shimba Ministries 2013
1633 Broadway, NY, NY
 
ﻭَﻗَﻮْﻟِﻬِﻢْ ﺇِﻧَّﺎ ﻗَﺘَﻠْﻨَﺎ ﺍﻟْﻤَﺴِﻴﺢَ ﻋِﻴﺴَﻰ ﺍﺑْﻦَ ﻣَﺮْﻳَﻢَ ﺭَﺳُﻮﻝَ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻭَﻣَﺎ ﻗَﺘَﻠُﻮﻩُ ﻭَﻣَﺎ ﺻَﻠَﺒُﻮﻩُ ﻭَﻟَٰﻜِﻦْ ﺷُﺒِّﻪَ ﻟَﻬُﻢْ ۚ ﻭَﺇِﻥَّ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺍﺧْﺘَﻠَﻔُﻮﺍ ﻓِﻴﻪِ ﻟَﻔِﻲ ﺷَﻚٍّ ﻣِﻨْﻪُ ۚ ﻣَﺎ ﻟَﻬُﻢْ ﺑِﻪِ ﻣِﻦْ ﻋِﻠْﻢٍ ﺇِﻻَّ ﺍﺗِّﺒَﺎﻉَ ﺍﻟﻆَّﻦِّ ۚ ﻭَﻣَﺎ ﻗَﺘَﻠُﻮﻩُ ﻳَﻘِﻴﻨًﺎ

Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.
Muhammad Amtwanga Changu doa wake

Sunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".

Hakika Muhammad alikuwa ni Nabii wa Shetani anaye fuga Watumwa na kuedekeza uzinzi.
 
hahahah..huyu ----- alikuwa malaya sana alioa katoto ka miaka minne alikuwa na tamaa..lakini alipoanza kupaka wanja huyu marehemu s.a.w alianza kuwa na aibu zaidi ya mwali..cjui alipata basha mimi sijui ila aliendelea na kuanza kupaka hina...

Ndugu yako Kafumaniwa huku::::::::::::::::::::::

HII HAIKUBALIKI,MTUME KUFUMANIWA?
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)

ALIKUWA MBORA WA VIUMBE KWA LIPI?
 
Wengi wanao kashifu waislamu hapa hawana hoja. Kutoa kashfa na kutukana waislamu au uislamu sio maadili au njiabora ya wakristo kutetea hoja yao. Dini zote hizi zina chanzo kimoja lakini kuna tofauti kubwa za kimsingi inapokuja pale kumshirikisha Mwenyezi Mungu !! Lakini ikiwa tutakaa kwa kusheshimiana na kuendesha hoja zetu bila kashfa na kujenga uhusioano bora kutuamia msingi wa mambo mengi ambayo dini zote zinakubaliana - nadhani itakua ni manufaa kwetu sote. Kuwakumbusha wale wanaosema kuwa waislamu ni wakatili au wauwaji , si mbali na hapo Muleba wilayani Kagera kuna nchi ya Rwanda ambayo miaka 20 iliopita ilishuhudia mauwaji ya jumuiya ya ajabu na kuna ushahidi kuwa kanisa katoliki lilihusika vikubwa.
 
Na kwasababu mmetawaliwa na majini na ndio maana wailaam majinga kila kukicha hakika hatushindan na wewe nenda ukafirwe huko kama Quran yako ilivyo agiza ndio maana mashoga wengi wa Kiislam kila kona[/UQUOTE]

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amewaombea radhi makasisi wa kanisa hilo waliowakosea watoto kwa kuwalawiti.

Papa Francis alinukuliwa kupitia redio ya kanisa hilo mjini Vatican, akitaja dhuluma za kingono dhidi ya watoto kama ukosefu wa maadili miongoni mwa viongozi wa kanisa na kusema watakaopatikana na hatia watawekewa vikwazo.

Mwezi jana Papa Francis, alitetea vikali rekodi ya kanisa katoliki katika kukabiliana na tatizo la dhuluma za kingono zinazotendwa na viongozi wa kanisa.

Ilikuwa baada ya umoja wa Mataifa kutuhumu kanisa hilo kwa kukosa kuwachukulia hatua makasisi watovu wa nidhamu.

Mwaka jana Papa aliunda kamati maalum ya kuhakikisha waathiriwa wa dhuluma za kingono wanapata kusaidiwa, lakini amekosolewa na baadhi ya waumini wa kanisa kwa kujikokota katika kutambua athari za tatizo hilo hasa kisaikolojia kwa waathiriwa.

Alisema alihisi umuhimu mkubwa wa kuomba msamaha kwa niaba ya makasisi waliowalawiti watoto ingawa alisisitiza kuwa idadi ya makasisi hao sio kubwa sana ikilinganishwa na idadi kamili ya makasisi wa kanisa hilo.

"Hatutapiga hatua yoyote nyuma kuhusu tatizo hili, vikwazo vinavyohitajika lazima vitawekwa,'' alisema papa. ''Lazima tuchukue hatua kuanzia sasa.''

Katika mahojiano mwezi jana, papa alilalamika kuwa hakuna aliyechukua hatua kukabiliana na visa vya ulawiti wa watoto kanisani ingawa kanisa linashambuliwa na kuambiwa limegea katika kuchukua hatua.

Kanisa katoliki limekuwa likituhumiwa kwa kosa la makasisi kuwadhulumu watoto kingono katika mengi ya makaisa yake duniani kutokana na maaskofu kukosa kuchukua hatua zozote. SOURCE:BBC
 
ETI HIZI NI SIFA ZA NABII MUHAMMAD (PBUH) Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah. Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Hizo ndizo habari za waislam..huwa wanajitupa chini wanaume wazima kwa vilio eti kujionyesha jisni wanamtamani na kumenda muhamad....eti wameambiwa km ukila ukishindwa kulamba mikono yako basi mpe mtu ailambe kabla ya kuisafisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom