Recent content by TGInnocent

  1. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa "flats" 20 za ghorofa nne kwa Tshs bilioni 10, kila flat ni Tshs milioni 500. Twende kazi!

    Hukumbuki zile idadi za samaki kwenye maji ya Tanzania.
  2. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Wana CCM Tulifanya Makosa Makubwa 2015 Kumpendekeza Magufuli. Tusirudie makosa 2020

    Ukisikia Mtanzania kafa kwa njaa isipokuwa kwa sababu ya majanga yatokanayo na kazi ya Mungu, ujue huyo ni mvivu tu. Anatakiwa ajiongeze. Maendeleo hayapatikani kwa siku moja, tena kama unatokea kwenye maendeleo negative uliyonayo mpaka ufike sifuri kwanza ndipo uanze kuhesabu moja. Fikiri kwa...
  3. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Wana CCM Tulifanya Makosa Makubwa 2015 Kumpendekeza Magufuli. Tusirudie makosa 2020

    Wakati mwingine nikitafakari sana nanashawishika kumshika mkono raisi kwa mambo anayofanya. Kwa jamaa huyu inabidi ufanye kumuamini tu kama unavyoamini kwenye dini yako kuwa mambo mazuri yanakuja. Kwa mifumo hii iliyokuwepo, overhaul yake haitampendeza kila mtu kwa sasa. Tuamini kuwa mwisho wa...
  4. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Simbeye: Sekta binafsi hali ni 'tete'

    Mission ya ukusanyaji kodi TRA nadhani inahitaji kutazamwa kisayansi zaidi. Badala ya kuwa supportive kwa wafanyabiashara imekua a major hindrance. Fikiri mfanyabiashara kupoteza masaa kadhaa akisubiri kulipa kodi ofisi ya TRA, hao wafanyakazi wanapiga stori tu, ukiuliza unapewa sababu ambayo...
  5. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Simbeye: Sekta binafsi hali ni 'tete'

    Wanatekeleza agizo la kuwafanya malaika wawe mashetani.
  6. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa

    Eleza namna ya kufika viwanja vilipo na contacts za wahusika.
  7. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Kwa hili ni Bora aendelee Magufuli miaka 10 kuliko kurudi Kikwete kwa mwaka mmoja

    Sio kwamba hakuna mafisadi, ila ni kwa sababu midomo yote imeshonwa isiseme. Tutakuja kusikia kama historia labda.
  8. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Kwa hili ni Bora aendelee Magufuli miaka 10 kuliko kurudi Kikwete kwa mwaka mmoja

    Vipe nafasi hivyo vilivyopo, usividharau kwa sababu ya matatizo madogomadogo vinayopitia. Kumbuka baadhi ya matatizo hayo yanaasisiwa au tuseme yanatokana na harakati za chama dola.
  9. TGInnocent

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mara Paaaap. .!! Upako Umeshuka. .....

    Amen and Amen.
  10. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hali ya kiuchumi, Serikali ifanyeje?

    Nijitahidi kuepuka kurudia yaliyochangiwa na wengine. Sababu zingine ninafikiri ni pamoja na 1. Social unrest (hali ya wasiwasi katika nchi) ■ watu hawafanyi shughuri za uzalishaji ipasavyo sababu ya mambo ya bomoabomoa inayoendelea nchi nzima, mauaji yasiyo na maelezo, malumbano yasiyo na tija...
  11. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hali ya kiuchumi, Serikali ifanyeje?

    Source?
  12. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hali ya kiuchumi, Serikali ifanyeje?

    Wewe mgoloko kweli kabisa hutasogea kielimu, unamuonea wivu jamaa kwa kuonyesha uelewa wake wa uchumi? Sasa mbona umeshindwa kumkosoa alipokosea badala yake unamshambulia. Au kwa vile unamfahamu basi unataka kumtisha?
  13. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hali ya kiuchumi, Serikali ifanyeje?

    Kwani wewe huoni hali ya uchumi mpaka uambiwe?
  14. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hali ya kiuchumi, Serikali ifanyeje?

    Hata kama humuamini, toa mchango wako jinsi ya kufikia kuwa nchi ya kipato cha kati.
  15. TGInnocent

    JamiiForums Tanzania Dangote accuses ‘Bulldozer’ Tanzanian president of scaring away investors

    Dola za Kimarekani bilioni 190! Huyo ananyang'anywa machimbo basi!
Back
Top Bottom