Wana CCM Tulifanya Makosa Makubwa 2015 Kumpendekeza Magufuli. Tusirudie makosa 2020

Propaganda za kisenge kama ukivyo ******.Subiri muda Wa kampeni ufike ndo umfikirie Huyo ****** mwenzio. Husiifanye NEC hawakuwa na akili kama ulivyo bull shits
kutukana sivyo, tujibizane kwa hoja siyo matusi
 
I think you are not qualified to judge Mr. President.... Nadhani wewe mwenyewe hujijui ni mtu wa aina gani unaishi sababu kuna maisha... HAKUNA KIONGOZi YOYOTE MZURI AMABYE HAJAPINGWA DUNIANI..WATU WALIMPINGA 'YESU' NA S.W.A (AMANI IWE JUU YAKE MTUME WETU) AMBAO WALILETWA NA MUNGU ...good leaders do not please everybody...they stand for what they believe.....STOP HATING CHANGES, YOU FOOL...go back to school and study change management
Who is qualifying to Judge the President? haiwezekani wote tukaimba wimbo mmoja otherwise tutakuwa taifa la wendawazimu. Inatosha wewe kuona Mh.kila anachofanya ni sahihi acha mimi ninaetoa mapungufu yake nibaki kama nilivyo.
 
When ze maoni iz concerned,nadhani ifike mahali tutofautishe viongozi na wanasiasa,jamaa ni kiongozi mzuri ila siyo mwanasiasa mzuri.
sio kweli kuwa ni kiongozi mzuri...


Jamaa ni mtawala mzuri

na sifa ya watawala hufanya kazi kwa kuwatishia wale wanaowaongoza na si kuwasikiliza ...


hio ndo gvn ya Tanzania kwa sasa...



kiongozi anaongoza na sio kutawala kama ilivyo sasa saiz wengine kama watumishi wa serikali hii tunafanya kazi kwa vitisho kila siku na ubunifu hatuna saiz nikufuata maleekezo tu , utafikili mbuzi...



Qz:

Jaribu kutafuta tofauti lati ya Kiongozi na mtawala , ukitaka kuelewa utapata majibu na utagunduwa kuwa jamaa ni Mtawala na ilitakiwa atawale enzi za akina Helode sio saiz...


ata mukwawa alokuwa mtawala ambaye.alikuwa na element za uongozi......
Noted for action.
 
huu ni udhaifu wa mkuu.

hakuna mtu asiye na udhaifu duniani angalia wa marekani walivyoandamana baada ya kuchagukliwa TRUMPH sasa wote kimya wanafuta jahazi.. maisha ndio yako hivi sababu wengi tunapinga changes... mwishowe tunakubali. MTU AKIFA WOTE TUNALIA, TUNAMLAUMU MUNGU.....MWISHO TUNABUBALI NA KUMSIFIA ALIYEUMBA.. TUNAZIKA ..KIMYA....HATA jpm watamkubali tu ..ndio nature ya binadamu kupinga na kukubali
 
Tusirudie tena kusikiliza Ushabiki wa wananchi " wajinga " wa Tanzania kutokana na mikogo ya mtu binafsi.binafsi nakiri kumchagua Magufuli ili kukibeba Chama ila tulikosea huyu mtu hakutufaa. Benard Membe alifaa kuchukua usukani. haya ni maoni yangu binafsi.

Usiku mwema.

BABARI,
Lancanshire,Nina uhakika hujui unachokiaonge,Magufuli hakuchaguliwa na wana CCM,Kaulize ni Wana CCM wangapi walikuwa na wazo la magufuli pale whitehouse dodoma wakati mchakato kumpata mgombea kwa tiketi ya CCM unaanza.
Naweza kusema ni zali limemdondokea Magufuli Kutokana na tofauti za yale makundi mawili.Na baada ya kundi la mtu mmoja kukatwa kwenye tano bora na kutishia kuhama chama kumfata mtu wao upande wa pili ndio wakatoa shinikizo la mgombea kwenye kundi la pili naye akatwe au wamfate mtu wao hapo hakukuwa na mbadala jila la huyo jamaa yako likakatwa.
Kijiti kikamwangukia BULLDOZER,Sasa ngoja kwanza asafishe pori lotee atoe majangiri wotee waliojificha waliofanya chama ni mali yao mpaka chama kirudi kwenye mstari wake mpaka 2025.
Na ndio mjua pesa haiwezi kupanga kilakitu.Vumilieni mpaka muda wake uishe.


LUMUMBA
 
Wanaojutia ni wale waliofukuzwa kazi kwa kisingizio cha cheti feki ilhali wanamuona mwenzao ndugu Bashite anapiga kazi tu tena bwana mkubwa anamkingia kifua hawa wanatamani hata uchaguzi uwe kesho ili wamuondoe
 
unauza bidhaa gani manake watu wanapata mishahara kama kawaida na wana spend kama kawaida
kuna kitu kinaitwa inflation rates au mfumuko wa bei. hiki ndio kipimo kikubwa chenye athari kwa hali ya uchumi wa mtu mmoja mmoja .yapo masuala mengi katika uchumi local curency vs USD n.k
 
Tusirudie tena kusikiliza Ushabiki wa wananchi " wajinga " wa Tanzania kutokana na mikogo ya mtu binafsi.binafsi nakiri kumchagua Magufuli ili kukibeba Chama ila tulikosea huyu mtu hakutufaa. Benard Membe alifaa kuchukua usukani. haya ni maoni yangu binafsi.

Usiku mwema.
Tatizo watanzania wengi tunashindwa kusoma nyakati,kuishi kwa wakati uliopo,binadamu hatufanani mifumo ya kielimu,kiimani,kiitikadi,kijadi ndio inatufanya ,tufanane katika kufikiri,kuamua na kutenda,hivyo kwa nchi kama yetu,ina mitazamo mingi tofauti,kwa kiongozi kama Raisi anapata changamoto nyingi sana katika kuongoza watu wenye mazoea tofautitofauti,so wenye itikadi moja na Raisi wetu mumsome na kumuelewa na si kulalamika ,ulalamishi+ushabiki+makudi havijengi chama wala nchi,huyo mh.Membe angekua Raisi wengine wetu tena wangelalamika so muhimu tuwe na weledi,Mungu bariki Tanzania Mungu bariki Raisi wetu
 
Tusirudie tena kusikiliza Ushabiki wa wananchi " wajinga " wa Tanzania kutokana na mikogo ya mtu binafsi.binafsi nakiri kumchagua Magufuli ili kukibeba Chama ila tulikosea huyu mtu hakutufaa. Benard Membe alifaa kuchukua usukani. haya ni maoni yangu binafsi.

Usiku mwema.
Hakuna Rais bora kama Magufuli , tatizo watanzania tunadhani maisha ni shortcut. Nina hakika maendeleo yapo mbeleni
 
Wakati mwingine nikitafakari sana nanashawishika kumshika mkono raisi kwa mambo anayofanya. Kwa jamaa huyu inabidi ufanye kumuamini tu kama unavyoamini kwenye dini yako kuwa mambo mazuri yanakuja. Kwa mifumo hii iliyokuwepo, overhaul yake haitampendeza kila mtu kwa sasa. Tuamini kuwa mwisho wa operation zinazoendelea tutakuwa na nchi inayopendeza. Hata angekuja mtu mwingine yeyote, kufumua mifumo ya ulaji iliyokuwepo na kuweka mambo mapya sawa, lazima waathirika wangekuwa wengi.
Kingine ninachokifurahia ni kwamba raisi anaangalia watanzania, sio ccm tu kama tulivyozoea. Hii inanipa kuongeza imani kuwa mwisho wa handaki tunaweza kukuta mambo mazuri, barabara bora, utumishi wa uma bora, biashara fair, treni mwendo kasi, etc, haya yote hayakamiliki mwaka mmoja tu.
Tumpe support kwa mazuri yote, hayo mabaya mengine nadhani ni sehemu ya wanaojaribu kumhujumu ndani na nje ya chama chake.
 
Back
Top Bottom