Recent content by TEZIJIKE 2

  1. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania GE2025 Deo Sanga: Polepole amechanganyikiwa

    Jamaa kambinya ili asiendelee na hiyo hoja ki protoco hoja za polepole sio za kujibiwa kienyeji hivyo kwenye majukwaa jikite kwenye uchaguzi polepole anakuja vipi kwenye jukwaa kubwa hivyo mbele ya mwenyekiti wa chama unaleta ishu za polepole nadhani lazima amewekwa kitimoto huyu na sidhani kama...
  2. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dodoma kuna mlipuko wa ugonjwa wa kuharisha au ni upepo tu?

    Yani uharishe wewe tu na jamaa yako tayari utangaze Dodoma kuna mlipuko wa ugonjw wa kuharisha wizara husika ipo mbona haijatoa tamko acha kuzua taharuki
  3. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania Aina ya wanawake ambao mwanaume akioa ni vigumu kufanikiwa

    Tunaanza kupangiana tena kwenye hili tafadhari tusiingiliane naomba serikali iingilie kati swala hili
  4. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania 2015 CCM ilipokosa Mgombea anayekubalika ilibidi Wamchague Hayati Magufuli kupeperusha Bendera, Mwaka huu 2025 wakikosa Mgombea watakimbilia wapi?

    Hili si limeshafanyika au mimi sina habari niko x nasubiri iwashwe
  5. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania Kwanini watendaji waliowahi kutenguliwa wanateuliwa tena?

    Huende ni watendaji wazuri pengine waliondolewa kwa hujuma ama kilichopelekea watenguliwe tayari wameshajirekebisha kwanini wasitumike tena kama walikuwa na manufaa kwa nafasi. zao kumbuka hao nao ni binadamu wana familia na ndg zao wanawategemea inapokuja habari njema kama hii inagusa wengi...
  6. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania Uungwana: DC Mstaafu Richard Kasesela awashukuru wananchi wa Iringa Mjini, aomba radhi

    Mbona baada ya ile kauli yake maarufu aliomba radhi
  7. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Nikweli dunia ilivyo kubwa hii ina nchi 196 tu kweli
  8. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hapa hamna baba sauti haipo kushoneshwa sare mzee wa yes kila k2 hapo
  9. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mambo gani tena haya yanakuja huku
  10. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ukipata nafasi itumie
  11. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ile umekutana na timu ambayo anachezea jamaa anaye ishi na x wako unapo pata nafasi ya kumkaba
  12. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Toka tuku chanje mzee unaogopa nini chanjo ni salama hii
  13. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mkuu
  14. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Acheni zenu nyie
  15. TEZIJIKE 2

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji4]
Back
Top Bottom