Hapa ndiyo tunapata jibu kuwa CCM hawaiwezi Chadema kwa hoja. Wako wengi na wanajua kutiana ujinga, wanapata kutambua kuwa yote haya wananchi tunayaona
Wana jf hivi hawa mgambo wa ccm tukisema walitaka kupora hili gari tunakosea. Mwangalia huyo mmoja alivyokuwa anapiga kioo kwa kiganja. Pakilipuka hapa hawa ndiyo wa kuanza nao
Hii amri imetoka huku Dar, kama kamanda wa police mkoa wa Arusha aliweza kuruhusu maandamano na mkutano jana ilikuwaje ibadilishwe ghafla. Mwema na bosi wako likichafuka tutawauliza nyie
YAMO MAGARI YA WAHISANI YALIYOTOLEWA KAMA MSAADA
na Betty Kangonga
WAKATI serikali ikitamba kwamba imejipanga kudhibiti matumizi, baadhi ya vigogo katika wizara na idara mbalimbali wamekuwa wakiuziwa mashangingi ya serikali kwa bei ya sh 300,000 hadi sh milioni mbili, Tanzania Daima...
Nadhani wengi tuliolipitia MwanaHalisi leo kwa umakini zaidi jibu tumelipata.Ukurasa wa pili alitupa fumbo kidogo, lkn kwenye ukurasa wa 10 na 11 akaona isiwe tabu mbona wanafahamika. AKAWAPULIZA kila mmoja katika pozi lake
Wala tusimcheke jamaa hapa ndivyo tunaona akili za watu waliopo kwenye position kadhaa. Watu wanapigwa na viyoyozi na kukaa kwenye kiti vya helikopta wakati huo huo mshikaji anatumia udhaifu wao ku-make MONEY
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.