Tibaijuka Turudishie Jengo letu NYUMBA YA SANAA, Wa-Tanzania Tunasononeka Sana!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tibaijuka Turudishie Jengo letu NYUMBA YA SANAA, Wa-Tanzania Tunasononeka Sana!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Uwezo Tunao, Dec 22, 2010.

 1. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Pole kwa wale waliodhani kwamba Tanzania ni taifa lisilokua na wenye uchungu nayo!!!

  Mama nako pia sehemu za kupikia vyakula vya wazungu katikati ya mji tayari vimezidi sasa tunaomba usikie kilio cha Mtanzania na kuhifadhi utamaduni wetu kwa kuturudishia eneo letu MOJA TU KATIKA DAR ES SALAAMA NZIMA; NI NYUMBA YETU YA SANAA.

  Wakati hoteli za wazungu zakari bia 250 katikati ya mji tu hata kabla ya kwenda Bagamoyo, sisi Waswahili na mila zetu huwa tunajikumbushia katika kaeneo kamoja tu. Mwambie dogo Lowassa pesa hainunui kila kitu.

  Jamani GAIDI ROSTAM AZIZI eneo letu hilo moja tu katika ya mji kwa ajili ya utamaduni wa Mtanzania. Nako pia ukatutazamie mawe ya kwenye mikona mbona panaonekana kama nako pia palishamegwa megwa???


  Jamani Mjomba Mpoto alie vipi, 20% wetu hana hamu, Sarah Thomba kilio cha mmbwa mwizi kimya kimya kimya na kugugumia moyoni.

  Kweli mama ungemuona huyu Msanii 'Sisi Tambala' siku hizi anapoteremka kwenye daladala posta lazima tumsaidie kumkumbusha asielekee maeneo ya TRESPASS kule iliokua nyumba ya sana.


  Au kwa vile SISI WATANZANIA TUNAONEKANA WACHAFU na pengine kuwatia kinyaa Wageni wetu Wazungu pale Movenpicki??

  Jamani mama, tunapenda wageni sana hata Profesa J anajua lakini kwa hili sasa itabidi tuanze kuwachukia na hata wenye kutegemea mi-Dola kwa eneo letu la asili ya miaka nenda rudi nao wakapoteza sawasawa nasisi hapa.

  HOJA YANGU:


  Sound-Crafters, nawashilisha hoja ili Wa-Tanzania wenzangu wengine hapa JF nao wakuambie kilio chao kwa Lowassa kutuibia mfuko wa kushoto na kulia anatulipa robo ya mali ya wizi. Bibi Kidude usidhani sikufikisha kilio chako bibi yetu mpendwa; KAMA PESA INANUNUA KILA KITU nako pia watakueleza mama ...
   
 2. terrell

  terrell Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwelii
   
Loading...