HOJA YA KIPUUZI KABISA HII. HAISTAHILI KUJADILIWA HATA KIDOGO.
"KILA JAMBO NA WAKATI WAKE" HUWEZI KULINGANISHA MATUKIO AU HALI YA 2001 NA HALI ILIVYO LEO.
HATA HUYO MHESHIMIWA MAJALIWA / MHESHIMIWA RAIS ASINGEYATENDA HAYA YA LEO 2001 KAMA ANGEKUWEPO.
MAJIRA NI TOFAUTI NA HALI YA NCHI KIUCHUMI/...
NI UKWELI USIOPINGIKA, PESA ZIMELIWA NA WATUMISHI WA "TPA" WAKUBWA NA WADOGO. SASA WANALINDANA KWA KUWABANA WANYONGE WASIOHUSIKA. KAMA KWELI NA HAKI INATAKIWA IONEKANE IKITENDEKA, NI KWA NINI WASI-WA "IMPLICATE" WAMILIKI WA ICDs KWA KUWEZESHA UTOROSHAJI HUU UNAOSEMEKANA KAMA KUNA UKWELI?
HAWA...
Ili tuweze kutoka hapa tulipo, ni LAZIMA tujenge kuaminiana. Nchi hii ni yetu SOTE. Watanzania kwa ujumla wao, bila kujali rangi, kabila, dini, wala itikadi za kisiasa. Ubaguzi wa aina zote tajwa hapo juu umetamalaki sana katika chama chetu kinachotawala kwa sasa. Tusipotafuta namna ya...
KAZI YENU NI MAJUNGU TU. MUNGU AWASAMEHE KWA KUWA HATA HUYO MBOWE MNAYEMSEMA HAUMFAHAMU VIZURI. KWA TAARIFA NDOGO TU NI KWAMBA; NDUGU MBOWE HAKUZALIWA KWENYE NYUMBA YA NJAA, NA ALIVYOMJALIA MWENYEZI MUNGU VINAMTOSHA SANA, NA "ZIADA" ANAYO NYINGI SANA KWA MAHITAJI YAKE BINAFSI NA HATA FAMILIA...
Unaowaona ni "wajinga" ni watanzania! Lugha hii ya dharau na kejeli itakutoka lini?
Uwe na busara angalao kidogo ndugu yangu. Hata ndani ya huo "ujinga" unauona kuna cha kujifunza...
Ni jasho lake. Sio Hongo kama unavyotaka kuuaminisha umma. Pamoja na yote, uliyobwabwaja fedha inayotumika kwa malipo ya mambo yote SIO ya CCM!!! ni KODI za wananchi wote. Mzee Warioba ana haki zote kikatiba kama raia mwingine yoyote wa Jamhuri ya Muungano kutoa Maoni. Kama huyapendi ni wewe...
[poor terrel chagadema is there to protect the interest of chagas(money) chaga money comes first] I still believe that a tribalist like you must be the poorest of all! We discuss matters arising here and you divert to tribalism. The whole world is talking of unity against tyranny and u seem to...
What do you mean by "CHADEMA NI SELFISH"? How does it relate to those who are willing to join forces in order to be strong? I think the term "SELFISH" used most relate to the one who claim to have the Permanent patent to the national cake! while knowing precisely that the country belong to us all!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.