CHADEMA ni selfish, UKAWA kuweni macho

CHADEMA ni selfish, UKAWA kuweni macho

What do you mean by "CHADEMA NI SELFISH"? How does it relate to those who are willing to join forces in order to be strong? I think the term "SELFISH" used most relate to the one who claim to have the Permanent patent to the national cake! while knowing precisely that the country belong to us all!
 
poor terrel chagadema is there to protect the interest of chagas(money) chaga money comes first
 
Ninachokiona katika hii ndoa NCCR kitakufa Kabisa... Na CDM kitakuwa chama cha Bara na CUF kitakuwa chama cha Zanzibar... Result Wakishinda hawa Tanzania itakufa. Tutabaki na Tanganyika na Zanzibar kama wenyewe wanavyotaka.
 
Navishauri vyama viwili vya NCCR NA CUF JUU YA UBINAFSI WA CHADEMA

- Kumbukeni mwanzo walikataa kuunda kambi ya upinzani

- Kumbukeni matusi ya kuambiwa CCM B

CHADEMA ni kuiogopa, baada ya kuona ndani kuna migogoro na hadhi yake kuwa mbaya CHADEMA ili kufanya cover up wakajifanya wanapenda kuungana na waliberali.

NB: Maandamano yaliyoshindwa yalibebwa na CHADEMA badala ya UKAWA kama tulivyoelezwa hapo kabla.
Ushauri mzuri sana, nakumbuka Dr.Slaa alisema hawawezi kuungana na CUF wakati CUF wamefunga ndoa na CCM kimsingi CUF siyo chama cha upinzani, leo kulikoni tena.
 
Kama Chadema walikuwa nadhamira ya dhati kuungana nao ili kupata nguvu walikuwa wapi wakati wanaunda baraza la mawaziri kivuli, leo hii baada ya kuona watanzania wamewapuuza ndiyo wanashtuka.
 
una ni include kama unanifahamu....mimi ni mwanachama wa cuf....hiyo mlikua ?????? ulikua umenijumuisha na kina nan?

Nabado mtaweweseka sana tarehe 29/10/2014 mkataba kang`aaaaaaa mlijaribu kuwafitisha kwenye bunge la katiba ikashindikana jitihada bado zinaendelea ....... Mwisho wenu umefika Tumieni Katiba,Kanuni,sheria na mamluki kukwamisha Ukawa ila mjuwe lilopangwa na Mungu Binadamu huna Chako.😛eep:

Ushauri mzuri sana, nakumbuka Dr.Slaa alisema hawawezi kuungana na CUF wakati CUF wamefunga ndoa na CCM kimsingi CUF siyo chama cha upinzani, leo kulikoni tena.

Mmmmmm hapo kazi ipo
Ila hizo kauli zipo na zilisemwa lakini maneno hayauwi mkuu
 
Kazi hiyo ya kuchonganisha UKAWA wamepewa watu wa TISS na CCM, Hata jana nilipoint out jinsi walivyopewa kazi hiyo. Tusubiri tutaona mengi
 
Ushauri mzuri sana, nakumbuka Dr.Slaa alisema hawawezi kuungana na CUF wakati CUF wamefunga ndoa na CCM kimsingi CUF siyo chama cha upinzani, leo kulikoni tena.
Jana ulikuwa unapinga mbinu hizi chafu....sasa zimedhihirika dhahiri. Kwa ufupi kila chama kinaendelea na kazi zake, pia kutakuwa na mipango ya pamoja (UKAWA). Subiri inchi sita ikuingie yote

Hata mke na mume hawafanani maeneo yote! Lakini kwa pamoja katika yale wanayoamini kwa pamoja wanasonga mbele kama kitu kimoja! Umoja ni nguvu utengano ni dhaifu! Hao wanaoponda muungano huu wanatumikia buku 7! Wajiulize li ccm lenyewe lina vipande vingapi hadi sasa!? Mbona wamegawanyika tu??
 
Navishauri vyama viwili vya NCCR NA CUF JUU YA UBINAFSI WA CHADEMA

- Kumbukeni mwanzo walikataa kuunda kambi ya upinzani

- Kumbukeni matusi ya kuambiwa CCM B

CHADEMA ni kuiogopa, baada ya kuona ndani kuna migogoro na hadhi yake kuwa mbaya CHADEMA ili kufanya cover up wakajifanya wanapenda kuungana na waliberali.

NB: Maandamano yaliyoshindwa yalibebwa na CHADEMA badala ya UKAWA kama tulivyoelezwa hapo kabla.

Propaganda zina shida zake lakini kwa kuwa siasa ni ajira inabidi tukubali tu. Wamerakani, waingereza, makuburu wa africa kusini tuliwaita, mabeberu na matusi ya kila aina, leo hii JK ndio anashinda huko US, makaburu wa south ndio usiseme, sio migodi, ardhi, mabenki nk wanajichukulia watakavyo. Funga kazi Nyerere alisema Jk hajakuwa, leo ni rais! EL mwizi leo ndio mnamoigia debe la urais!

my take: yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Tunachotaka ni kuhakikisha wingi wa wanaccm udhibitiwe maana ndio saratani ya nchi hii.
 
Navishauri vyama viwili vya NCCR NA CUF JUU YA UBINAFSI WA CHADEMA

- Kumbukeni mwanzo walikataa kuunda kambi ya upinzani

- Kumbukeni matusi ya kuambiwa CCM B

CHADEMA ni kuiogopa, baada ya kuona ndani kuna migogoro na hadhi yake kuwa mbaya CHADEMA ili kufanya cover up wakajifanya wanapenda kuungana na waliberali.

NB: Maandamano yaliyoshindwa yalibebwa na CHADEMA badala ya UKAWA kama tulivyoelezwa hapo kabla.

Ni bahati mbaya kuwa una akili kama za PIG na kwa hiyo siasa hujui. Historia ya mageuzi na mapinduzi duniani kote inaonyesha kuwa, watu waliokuwa wametengana kwa muda mrefu na kutawaliwa na kikundi kidogo, wakuja kuungana kwasababu ya jambo moja linalowaunganisha. KATIBA imwaunganisha watanzania na hasa wapinzani.
 
Navishauri vyama viwili vya NCCR NA CUF JUU YA UBINAFSI WA CHADEMA

- Kumbukeni mwanzo walikataa kuunda kambi ya upinzani

- Kumbukeni matusi ya kuambiwa CCM B

CHADEMA ni kuiogopa, baada ya kuona ndani kuna migogoro na hadhi yake kuwa mbaya CHADEMA ili kufanya cover up wakajifanya wanapenda kuungana na waliberali.

NB: Maandamano yaliyoshindwa yalibebwa na CHADEMA badala ya UKAWA kama tulivyoelezwa hapo kabla.

Tulia Mpododo ukuingie vyema bint,wacha kuruka ruka,utaenda ndipo siko
 
Navishauri vyama viwili vya NCCR NA CUF JUU YA UBINAFSI WA CHADEMA

- Kumbukeni mwanzo walikataa kuunda kambi ya upinzani

- Kumbukeni matusi ya kuambiwa CCM B

CHADEMA ni kuiogopa, baada ya kuona ndani kuna migogoro na hadhi yake kuwa mbaya CHADEMA ili kufanya cover up wakajifanya wanapenda kuungana na waliberali.

NB: Maandamano yaliyoshindwa yalibebwa na CHADEMA badala ya UKAWA kama tulivyoelezwa hapo kabla.

Bado unaamni katka falsafa wagawe na uwatawale? Wenzako wamekuambia ktk siasa hakuna adui wa kudumu pili km unakosoa muungano huu vipi muungano wa tlp,udp na ccm unaushauri kipi??
 
Jana ulikuwa unapinga mbinu hizi chafu....sasa zimedhihirika dhahiri. Kwa ufupi kila chama kinaendelea na kazi zake, pia kutakuwa na mipango ya pamoja (UKAWA). Subiri inchi sita ikuingie yote

Hii comment imeniacha hoi kwa kucheka..
 
Navishauri vyama viwili vya NCCR NA CUF JUU YA UBINAFSI WA CHADEMA

- Kumbukeni mwanzo walikataa kuunda kambi ya upinzani

- Kumbukeni matusi ya kuambiwa CCM B

CHADEMA ni kuiogopa, baada ya kuona ndani kuna migogoro na hadhi yake kuwa mbaya CHADEMA ili kufanya cover up wakajifanya wanapenda kuungana na waliberali.

NB: Maandamano yaliyoshindwa yalibebwa na CHADEMA badala ya UKAWA kama tulivyoelezwa hapo kabla.

Leo mmegeuka wasamaria wema kwa kuvionea hururuma vyama vya upinzani!!!,pana walakini hapo tulieni vivyo hivyo.
 
Navishauri vyama viwili vya NCCR NA CUF JUU YA UBINAFSI WA CHADEMA

- Kumbukeni mwanzo walikataa kuunda kambi ya upinzani

- Kumbukeni matusi ya kuambiwa CCM B

CHADEMA ni kuiogopa, baada ya kuona ndani kuna migogoro na hadhi yake kuwa mbaya CHADEMA ili kufanya cover up wakajifanya wanapenda kuungana na waliberali.

NB: Maandamano yaliyoshindwa yalibebwa na CHADEMA badala ya UKAWA kama tulivyoelezwa hapo kabla.

Umekosea heading, ni kutambua kuwa CHADEMA ni sehemu ya UKAWA kwa hiyo kitendo cha kuitahadharisha UKAWA ni sawa na kuitahadharisha CHADEMA pia ichukue tahadhari juu ya CHADEMA yenyewe na bila ya uwepo wa CHADEMA ni kama UKAWA haipo kwani ni ushirikiano wa vyama zaidi ya kimoja. Uwe makini!
 
Mkuu.
Siasa hubadilika sana ( dynamic), unaijua ccmilipotoka?
Ni kwanini TANU ilikufa? unakumbuka vyama vya siasa kipindi hicho?
 
Back
Top Bottom