Recent content by TERNe

  1. TERNe

    Mawazo mapya ya biashara ya kufanya kwa mtaji wa Milioni 500

    Wazo lingine njoo mwanza ujenge nyumba za za kupangisha za 150k kwa mwezi Nimesema hiyo kwasababu hiyo ni bei vijana wengi wanao anza maisha wanatafuta nyumba nzuri za self one room or two alf kweny markets zilizopo hazkizi mahitaji(low quality)
  2. TERNe

    Mawazo mapya ya biashara ya kufanya kwa mtaji wa Milioni 500

    Fungua kampuni ya BETING kama cleopatra,batway...nk
  3. TERNe

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Numbisa nakushukuru sana nilmefanikiwa kiongoz
  4. TERNe

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Unadowloadia wap mkuu
  5. TERNe

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kiongoz una downloadia wap hiz kitu,msaada
  6. TERNe

    Msaada: Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja

    Naomba uniunganishe mm naipenda sana hiyo kazi[emoji1666]
  7. TERNe

    Meli ya Israel yatekwa Yemen

    Kabsa,mm pia nlikua mtu wa dini sana lakin nlikuja kugundua too much is harmful,cjui nielezeeje lakin usipo makinika inaweza kudestroy... humanity kwasabab sio wote wanaongoza hizo dini sio wa Mungu
  8. TERNe

    Naitaji connection za vibarura migodin geita

    Nimesha kupm mkuu
  9. TERNe

    Naitaji connection za vibarura migodin geita

    Kwakirefu panaitwaje
  10. TERNe

    Naitaji connection za vibarura migodin geita

    Mkuu cja kupata pma ni wapi
  11. TERNe

    Naitaji connection za vibarura migodin geita

    Nlilala lodge ya buku 4 mkuu
  12. TERNe

    Naitaji connection za vibarura migodin geita

    Nna elfu nne tu mfkon cjui ata na lala wap leo
  13. TERNe

    Naitaji connection za vibarura migodin geita

    Miwakiume ntakaza cna namna mkuu
  14. TERNe

    Naitaji connection za vibarura migodin geita

    Kabsa nipe hata connection niwe hata mpmbe wa makonda ase
  15. TERNe

    Naitaji connection za vibarura migodin geita

    Jana nlienda mpomvu wakanambia huu msim wamvua kaz nizashida labda mpk mhuko may ndo kaz ztaanza patikana,alf pia wananiambia ningekuwa mwenyeji ingekuwa rahis kupata laasivyo ni ngum
Back
Top Bottom