Recent content by terewaeli

  1. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Natamani mtoto ila sijapata wa uhakika wa kuzaa nae

    Kweli kabsa. Wajua kuplay part yko!
  2. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Natamani mtoto ila sijapata wa uhakika wa kuzaa nae

    Bujibuji wakat mwingine uko vizuri. Hongera kwa maneno ya busara. Barikiwa sana
  3. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanachangia sana ndoa kuvunjika

    Hakuna mkamilifu hata mmoja. Pia tukisema hatuna dhambi tunajidang'anya na wala kweli haipo mioyoni mwetu. Je jiulize ww u mkamilifu? Hujawai kuzini nje ya ndoa! Tafakari!
  4. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Niimembusu dada wa kazi wa nyumbani kwangu, mke wangu nisaidie...

    Pole sana. Hizo ndo changamoto za kwenye ndoa. Kwa ushauri wangu wakat mwingine jaribu kubadilisha mazingira ya kufanyia tendo la ndoa. Siyo kila siku nyumban. Mwaweza toka kwenda mbali kdg na nyumban. Pia wakat mwingine mfanye awe rafiki wa karibu huenda kuna wakat unakuwa mkali kwake...
  5. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Dar: Upepo mkubwa na mvua usiku - Machi 03, 2018

    Pole
  6. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Dar: Upepo mkubwa na mvua usiku - Machi 03, 2018

    Huku upanga ndo usiseme na radi juu!
  7. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Kwa nn kaka
  8. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuongea na Mpenzi wako zaidi ya saa moja kwenye simu?

    Wakati mwingine kuna raha yake jaman. Hasa umpate anayejua kubembeleza .yaan mpaka raha
  9. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Pole sana mapenzi ndivyo yalivyo!
  10. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Nimuache au nimsubiri

    Jf kuna raha sana. Stress tupa kule ukiingia humu
  11. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Nilikosea kuolewa na huyu, nimekutana na perfect choice kazini

    Inabid tu kwa kweli kuoa mtu anaefanya kazi. Vyuma vimekaza kaka. Mnasaidiana majukumu
  12. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Ma-manzi wa Dar na fake lifestyle

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  13. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Nakaa Kimara mwisho, nafataje chips Segerea mwisho muda huu? Wanawake wenye mimba mnasumbua

    Mwache tu adeke jaman. Sasa ulitaka amdekee nani! Mwanamke akiwa mjamzito ndo kipind cha kuzidisha upendo. Tena mdekeze haswaaaaaaa!
  14. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii nitaendelea kuchepuka tu!!

    Mbona unalalamika wakat hata mahari hujamtolea! Oa kwanza ndo uanze kulalamika!
  15. terewaeli

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Duh pole sana kijana. Jaribu kujipanga tena huyo siyo wa kwako keshampata mwenzake. Najua utaumia Ila haina jinsi, usipoumia huwezi kujifunza. Ili dhahabu iwe safi lazima ipite kwenye tanuru la moto. Mshirikishe Mungu atakupa aliye wa kwako ambaye hatokuumiza. Ila kumbuka maisha ni lazima...
Back
Top Bottom