inaonyesha umepanda gari ambayo seat zake hazijapewa majina ama namba( labeled). Anyway Pata assistance kutoka Kwa bus conductor
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Tatizo anafany hadharani ndo shida inaanzia hvi angefanya ndan nyumbn kwake nani angembughuzi mashoga na wasagaji wanajisahau hapo tu starehe Yako wew sio lazima uwonyeshe wengine.
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Kazi ya technician sio kujenga ni kuimplement kile alichodizain engineer pamoja na kufata kanuni za ujenzi tofautisha Kati technician na Craftsman
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Kwahyo yale makovu ya kipigo Cha Roma ni alijipiga mwenyewe,au alipanga watu wamshindilie mangumi ili aonekane kapigwa? Nadhani uitumie akili Yako kidogo.
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Moja kwa Moja kwenye hoja yangu, Ujerumani ni Moja ya nchi iliyowahi kuwa na makoloni mengi sehemu mbalimbali duniani kama zilivo nchi nyingine mfano Uingereza, Ufaransa ni kwanini nchi zilizotawaliwa na ujerumani hazizungumzi lugha ya kijerumani kama ilivo nchi zilizotawaliwa na muingereza ama...
Daah mask [emoji3][emoji3][emoji3] tatu duuh si unakosa oxygen sasa Kisha una suffocate unapoteza uhai.
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.