Recent content by tepho

  1. T

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae.. aje Geita DC. niende mvomero, kilombero, kilosa, chalinze, kibaha ,kisarawe. idara sekondari.. simu namba 0686255278. Natanguliza shukrani.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Mmmmmmmh kazi ipoo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 3/06/2015 Charles Makongoro Nyerere kuchukua form rasmi

    kila heri...
  4. T

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi mwalimu wa sekondari katika mkoa wa mwanza wilaya ya misungwi, nahitaji kubadilishana na mwalimu yeyote wa sekondari kutoka mkoa wa mwanza wilaya ya nyamagana au mkoa wa dodoma, dodoma manispa au wilaya ya chamwino. kwa aliye tayari anitafute kwa namba 0718 659923 au 0756 005571.
  5. T

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi ni mwalimu wa sekondari, nimepangwa mkoa wa geita, wilaya ya geita, nahitaji kubadilishana na mwalimu yeyote wa sekondari kutoka mkoa wa Pwani katika halmashauri za kibaha, bagamoyo na rufiji. kwa aliye tayari anitafute kwenye namba hizi 0718 963023 au 0769 836667.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Afande Sele ajiandaa kunyakua jimbo la Morogoro Mjini

    kutangaza nia ya kugombea ni haki yake. ila atapitishwa na chama chake? kama abood ataendelea ana kazi kushawishi umma.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Post wizara ya kilimo 2012/2013

    Naomba mtu anayefahamu vigezo vya kusoma chuo cha kilimo awe na sifa gan anifahamishe??
  8. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Tutapinga haraka kusudio la kukata rufaa ubunge wa Igunga

    Nimekupata mkuu, nashukuru kwa taarifa!!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Tutapinga haraka kusudio la kukata rufaa ubunge wa Igunga

    Nimekupata mkuu,nashukuru kwa taarifa!!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tamthimin ya matokeo ya udiwani wa kata zote!!

    Wakuu kama kuna mwanajf mwenye matokeo ya kata zote zilizofanya uchaguzi naomba atujuze!!!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Tutapinga haraka kusudio la kukata rufaa ubunge wa Igunga

    Wanajf leo ndio maamuz (rulling) ya rufaa ya mh. lema,??? mwenye taarifa ya uhakika atujulishe!!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mtindo huu kijana baraka mfilinge ataukwaa ubunge jimbo la kilolo-2015.

    mmmmh ndugu yangu unaudanganya uma, kilolo ipo iringa!!!!!!!!
Back
Top Bottom