Kuna uwezekano akatakiwa alipe fedha yote aliyowapa wabunge wasio na Chama ikiwa ni Pamoja na Mishahara na posho zote walizopokea pasipo uhalali. Huu ni uhujumu uchumi.
Nimesoma thread inayoeleza kuhusu Kenya kusaini MoU ya ufundishaji Kiswahili Afrika ya Kusini kama hili ni kweli imenihuzunisha sana. Nchi yetu ina walimu wengi sana wa kiwango cha Umahiri(MA) Kiswahili na wanafundisha shule za msingi na sekondari (O level) baadhi ya walimu hao walishajisajili...
Naomba kujuzwa kwa waliokuwa wanafuatilia hotuba ya rais wakati wa ufunguzi wa mkutano wa cwt. Je amegusia suala lenye utata la watumishi waliopanda madaraja 2016 n'a baadaye kusitishwa ili kupisha zoezi la uhakiki?
INAUMA SANA, JAMANI CWT NA TUCTA MKO WAPI? KUNA WATUMISHI WALIKUWA NA MIKOPO BANK, HESLB WAKAJA NA 15% WAKAFYEKA BAADHI YAO KWA SASA WANA MISHAHARA YA 20,000/= NA CHINI YA HAPO, TEGEMEO LILIKUWA MALIMBIZO YAO NA MSHAHARA MPYA MWEZI HUU. LAKINI KWA YANAYOKEA MATUMAINI KWA MTUMISHI YANAFIFIA.
Kuna taarifa iliyoletwa humu toka kwa katibu mkuu utumishi kwenda kwa maafisa utumishi ikiwataka wafanye marekebisho ya barua walizonazo watumishi ambazo walikabidhiwa tangu mwaka 2016 baada ya kupanda madaraja na baadaye kusitishwa ili kupisha zoezi la kuwaondoa watumishi hewa n'a wale wenye...
Ni takribani wiki tatu sasa tangu katibu mkuu utumishi autangazie umma kuwa watumishi 450 waliokuwa wamekata rufaa wameshinda nà kutakiwa warudishwe kazini. Kwa masikitiko makubwa baadhi ya halmashauri hadi leo tarehe 1/8/2017 hazijawaandia watumishi hao barua za kurudishwa kazini...
Kumekuwa n'a kudhani kwingi sana baada ya statement ya Rais kuwa kuna mtu alimteua anajiita Prof wakati ni Dr. Wengine wanasema alimaanisha Muhongo wengine Ntalikwa n'a wengine Kafumu. Sasa ni nani aliyeongelewa n'a Rais? Mwenye jibu tafadhali tuondolee utata huu.
Hivi hukumu hii itakuwa ya haki wakati waathirika hawajapewa haki ya kusiklizwa kuhusu yaliyomo kwenye rufaa zao. Ingefaa wakapewa nafasi ya kujieleza kwasababu wapo tayari kwa lolote ili kutetea haki zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.