Kaka yangu Dr. Humphrey Masuki majungu haya hayatakusaidia. Wewe ni mtumishi wa umma ambaye mwajiri wako anaweza kukuhamisha wakati wowote kwa kadiri ya matakwa yake. Kuhamishwa kwako isiwe sababu ya kutengeneza majungu dhidi ya wenzio.
Kuhamishwa kutoka Wilaya ya Songwe na kwenda kwenu Moshi...
Hao wanaojiita Wanaharakati wanaoendaesha campaign dhidi ya Diamond ni wapumbavu tu ambao hawajawahi kuendesha campaign yoyote ikafanikiwa.
Hawana mchango kwa msanii yeyote hapa nchini. Mtu kama Maria Sarungi amesoma, amekula na kuishi kwa Kodi za wanyonge hawa hawa halafu anajifanya kuendesha...
Wakuu namtafuta Mr. Ringo. Huyu alikuwa ni Mwalimu wa Mchezo Karate pale Upanga, jijini Dar es Salaam miaka ya 1998 kama sikosei hadi miaka ya 2000. Wakati huo alikuwa anaishi Mtaa wa Mvita na Livingston. Kazi yake kubwa ilikuwa ni kuwafundisha watoto na Vijana masuala ya Karate na alikuwa...
Kaka hivi huwa huna kazi za kufanya au JF huwa wanatoa Tuzo maalum kwa wanaoleta thread nyingi?
Hupati hata muda wa kunywa maji!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati JF inapoteza ubora wake kwasababu ya kuruhusu upuuzi kama huu utamalaki kwenye jukwaa.
Jana ulipoona post hii ililazimu kwenda kuangalia tukio lile la uzinduzi wa kitabu cha Mzee Mkapa mwanzo mpaka mwisho na kisha nikajiridha pasi na shaka kwamba mleta uzi pengine alikuwa na agenda...
Acha upuuzi. Ni mara ngapi Chadema wamefanya matukio kama haya? Mnachotakiwa kuhangaikabnacho ni kuzuia kifo cha chama chenu badala ya kuhangaika na Dr. Tulia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.