Hayati Magufuli anapotajwa kuwa Shujaa wa Afrika, maana yake nini?

uko sahihi
Propaganda kubwa inatumika "kuuza" msiba huu
Na kama unavyojua raia wa chini wasio na elimu ya kutosha huwa ni wahanga wa kwanza wa propaganda, hasa zile ambazo ni State Engineered Propaganda
Kiunachokusumbua hasa ni nini. Nchi mbalimbali za afrika zinamlilia kuwa alikuwa mtetezi wa raslimali za afrika ndio maana marais zaidi ya 11 za afrika pamoja na wawakilimi wa kimataifa zaidi ya 50 wamefika kuungana na watanzania kumuaga.
 
hii ni aibu kwa JF nzima,kufia Mzena ni ushujaa?chek tena oblangata yako
Mkuu wewe ndo unatakiwa ucheck oblangata yako.

yaani katika vilivyo orodheshwa hapo umeona kimoja tu?

Yes kufia mnzena ni ushujaa kwani amekisimamia alichokiamini mpaka kifo,hamumuiti Mkwawa shujaa ninyi? ,Kama huwezi tumia hospital ulizojengea wananchi wazitumie badala yake unatumia za mabeberu,huo kwako ndo ushujaa?

Halafu acha ku appeal kwa Jf,maana si Jf tu,hata dunia nzima ikienda kushoto na ukweli ukawa kulia nitaenda huko huko kulia.
 
Tbc kazi yao ni kusifia tu sifa za kijinga Marehemu alipewa sifa kila secunde kuliko Mola wao me mwenyewe nilistuka Maana Katika Mashujaa wa Africa hana hata chembe moja ya kupewa sifa hiyo... Tbc kuna michumia Tumbo mule... wanadhani ukiwa raisi tu unakuwa Shujaa wa Africa so na Mwinyi nae ni Shujaa wa Africa? ???? And Kikwete pia????? Mashujaa walishaisha Marehemu nchi inapata uhuru kutoka kwa Mashujaa wa Africa alikuwa na miaka miwili
Una laana. Siyo bure
 
Achana na upuuzi wako. Unajulikana ulivyokuwa unamchukia JPM kama unavyoichukia Yanga. Kila mara nilikuwa nakuonya, jaribu kuwa mdadisi badala ya kudumaza ubongo wako. Nyerere aliitwa shujaa wa afrika kwa vile alipigania waafrika wajitawale! JPM alipigania waafrika watawale raslimali zao. Full stop kijana
Mbona mnateseka sana. Adui yenu ameshaondoka na hivyo mko huru kufanya au kuishi mtakavyo kwa sababu aliyekuwa anawakwamisha hayupo tena. Mzee kamaliza kazi yake hapa duniani mwacheni akapumuzike.
 
kwani kuwa shuja wa Afrika mpaka uhutubie UN?
Ndiyo kubwaa.
utasema nini km huna maono???? Tena Mbele ya watu wenye akili zao???

Zaidi utazomewa tu na kukuandika vibaya. Ukienda pale kubwabwaja lazima uwe mkweli mwenye msaada na mtu mweusi...

Fungua akili hiyo mleta mada kaandika AU na siyo UN.
Mbona akili zenu zimejaa jazba km baba yenu mpaka hamuoni mbele!!!! Heeee!
 
Achana na upuuzi wako. Unajulikana ulivyokuwa unamchukia JPM kama unavyoichukia Yanga. Kila mara nilikuwa nakuonya, jaribu kuwa mdadisi badala ya kudumaza ubongo wako. Nyerere aliitwa shujaa wa afrika kwa vile alipigania waafrika wajitawale! JPM alipigania waafrika watawale raslimali zao. Full stop kijana
Shujaa wa Afrika kivipi wakati alikuwa anapendelea kutumia lugha ya mabeberu English?
 
Naona waimba mapambio wanamalizia malizia beti za mwisho kabla hatuja delete kabisa.....hana jipya aende tu mkono wake chuma na damu za wasio hatia
tena anatumbua watoto wa mama ntilie wamesoma kwa shidaaa!!! Eti lengo akajenge uwanja chato!!! Unaumiza watu wako mwenyewe??badala ya kukamata mabeberu??? Mie nilikataa ofa yake huyu!!!

Kule BOT Kwa watoto wa vigogo hakugusa.
Mbaguzi kufuru!!

sasa kwa taarifa yenu ile control tower ya chato watakaa buibui na mende na ile run way ya lami mfu itapasukapasuka.subiri tu.

Kamwe ndege hazitatua pale uwanjani. Na Burigi zooo kwishne nani aende huko???

Mtalii aache kujimwaga Serengeti national park urithi wa Dunia??? Aende kuji kaanga hapo juani???
Alitaka kuiba zaidi Mungu kasema nooo!!

Nje aliogopa manake wangemsuta mnooooo......!!!
 
Hao ulioawataji wapo kwenye vitabu tu
Hawajawaia kuwepo duniani,
Uko sahihi kabisa haina ubishi.kwa sababu hawakuhusu!!! Na hutawajua kamwe hata Yesu akija wewe utakuwa kuni za kumwangamiza shetani. Sasa utamwona wapi?? wkt unateketea motoni??

Wa Yesu utatujua tu lazima. Na wale wa shetani mnajulikana.

Mbinguni sisi lazimaaaaaaaaa.....!! Na. Huu utakuwa ushahidi wangu.
Yesu namjua sana tu!!!!
 
Mwenyekiti wa ameesema kwenye hotuba yake kuwa Afrika imepoteza shujaa aliyekuwa anapigania maslahi na uhuru wa uchumi na jamii ya Afrika. Sasa wewe ni nani hasa wa kuhoji?
 
Uko sahihi kabisa haina ubishi.kwa sababu hawakuhusu!!! Na hutawajua kamwe hata Yesu akija wewe utakuwa kuni za kumwangamiza shetani. Sasa utamwona wapi?? wkt unateketea motoni??

Wa Yesu utatujua tu lazima. Na wale wa shetani mnajulikana.

Mbinguni sisi lazimaaaaaaaaa.....!! Na. Huu utakuwa ushahidi wangu.
Yesu namjua sana tu!!!!
So you think I'm scared of that white boy?

You IDIOT
 
Hivi ninyi mtaendelea kum'underrate Magufuli mpaka lini? Ni miaka mitano, kafanya ya miaka 40 iliyopita combined!
Hivi ww umefanya nini hata ulete uzwauzwa hapa! Mkapa ana mazuri yake lakini Magufuli kazidi sana!
Hamna alichifanya zaidi ya kuharibu uchumi. Kama huelewi hili ujue hapa siyo mahali pako. Nenda Facebook.
 
Back
Top Bottom