Guys,
Kwanza, majeshi yanayohusika ni ya SADC, chini ya command ya SANDF (South African National Defence Forces). Hii operation ni kuwaondoa wanajeshi hao kutoka DRC kwenda nchini kwao, na hii ni awamu ya pili, awamu ya mwanzo ilikuwa miili 10+ ya askari wa SANDF waliopitia Rwanda, then Uganda...
Pascal,
Hii ni notification kwa public kuwa Job ****** amejiuzulu.
Barua ya kwenda kwa katibu wa bunge na copy kwa CCM au vice-versa haipo hapo. So you cannot judge ukweli wataujua KM wa Bunge na KM wa Chama. Inawezekana amequote kimakosa issue ya barua kwenda wapi na copy kwenda wapi.
But...
Mkuu,
Haya mambo yako siku zote. Kusema yamerudi ni uongo mtupu. Kwani yaliondoka lini?
Kuchagua receipt au kupewa ya kiwango cha chini baada ya kununua kitu ni vitu vipo miaka nenda rudi. Ukisema yalitoweka ni uongo.
Cashless economy ndio solution ya hii kitu. Watu wengi wakitumia mifumo ya...
Mkuu
South Korea wametupa mkopo wa kujenga approach roads na Tanzanite Bridge. Sio msaada au grant.
Msaada au grant ilitolewa na Japan kwa Tanzania kujenga TAZARA flyover na juzi Morrocco - Mwenge Road section.
Hello.
Si mkopo ni grant unapewa pesa unasema wapi wajenge. Wao hutaka uondoe incumberances zote mabomba au nyumba au tanesco cables.
Tukishabikia hata grants tunadhalilisha chama na mwenyekiti wa chama. Tuna miradi mingi ya kunadi sio hii michache ya misaada.
Tena huu mchakato wake ulianza...
John.
Ni msaada kutoka wananchi wa Japan. Sio fair kushukuru chama na kutoshukuru Japan government.
Wametoa fedha 100%.
Kama hujui, Flyover ya Tazara au Mfugale flyover Japan wametupa zawadi wakitoa fedha 100%.
Si sawa wala sio fair kushukuru chama.
Well ndugu, kweli bar zimekuwa kero kiasi Fulani.
Sheria ya mazingira hairuhusu noise pollution inayozidi decibels flani (kiwango cha sauti). Bars hazitakiwi kubughudhi watu kwa masauti ya miziki.
Bars au pubs lazima zifuate sharia. Zinaweza kuweka sound proof na watu wakae ndani, wanywe na...
True. Wanapoteza sana sio kwa vehicles ambazo haziko serviceable bali hata zile ambazo a person in one way or the other hana pesa kwa wakati Fulani.
I think wangeweka limit (ukomo) wa hizi penalties. Kwa mfano mwisho wa penalties ni mwaka mmoja. Kama penalty ni 50,000 then total penalty ni sh...
This is very true. Huhitaji data kwenye issue ya masaa ya safari. Ni zaidi ya matatu wakati bus inatumia saa moja unusu. Technically hata ungekuwa wewe ungepanda bus uwahi Dar.Ndio maana hatupandi.
Concept ya huu mradi ilikuwa kupunguza foleni kwakutumia njia ya bahari kwa kutumia fast boat...
No way! He was right kivipi? Jamani tumieni bongo, huyu Magufuli kaleta hasara mno!
Ok kesi aside, je kama kulikuwa na kesi au pingamizi, iweje serikali iachie meli iliyokamatwa iwe vandalised? Je iweje wagawe samaki bure wakati kesi iko mahakamani, ili kuokoa gharama za kuwatunza wangeuza...
Juliana hello,
My dear, wewe umekuja CCM juzi juzi, tulifurahi kupata vijana kutoka CDM pamoja na Mtela. Kila siku zinavyoenda na ninavyoendelea kuangalia post zenu naanza kuona kama hatukupata kitu.
Nyie vijana kwanini kila wakati mnaongelea CDM tu?? Hivi hakuna mambo mengine ya kuongelea...
Pomboo, hello.
President Kagame anastahili kuitwa the most dynamic president kutokana na aliyoyafanya kuitoa Rwanda ilipokuwa baada ya genocide to the economic success it is enjoying kwa sasa in a space of 15 years. Rwanda ilikuwa imekwisha kabisa, vita iliharibu kila kitu! Huyu jamaa PK ni...
I think kutokana na bandiko lako mtu akiangalia kwa umakini ataona kama ni kweli ACT ni wadini.
Kama mnataka kuwa tofauti na muwe mna mwelekeo msiendekeze kabisa suala la kuongelea udini. Wekeni kipengele cha kuto-discuss udini kabisa kwenye shughuli za chama chenu. Ukabila na ukanda vilevile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.